MREJESHO WA KIKAO CHETU
DATE : 17/07/2018
VENUE: DAR ES SALAAM
Kaimu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa zamani wa klabu, Tarimba Abbas (katikati) baada ya kikao cha usuluhishi leo. Mwingine kulia ni Deo Mutta
Kikao kimefanyika katika hali ya utulivu sana na busara kubwa kwa pande zote mbili.
Kikao kilijumuisha Viongozzi wetu wawili Mh. Tarimba Abbas na Eng. Clement Sanga mimi pamoja na Mchumi Mbobezi Bwana Omary Kimosa,
tulihudhuria ili kusikia Mikakati ya viongozi wetu kwa pamoja.
Mjadala ulikuwa wenye afya uliozingatia Maslahi Mapana ya Klabu yetu ya Yanga (YANGA KWANZA). Mawazo yote ya wanachama wa Yanga kama yalivyokuwa yamewasilishwa jana 16/07/2018 wakati wa kuwaomba viongozi hawa tukutane nao baadhi yetu tulitoa mawazo na ushauri ambao viongozi wetu wameyachukua na kuyapa Uzito mkubwa jambo ambalo lilirahisisha Majadiliano yalioanza saa Tano na robo na kuisha saa nane na nusu Takriban (MASAA MATATU NA DAKIKA KUMI NA TANO).
YALIYOJADILIWA
Kulingana na muda ulio mbele yetu kuwa mchache yafuatayo tuliyapa kipaumbele bila kupuuza mawazo, ushauri na maoni mbalimbali ya wanayanga wote ndani na Nje ya Nchi kama ifuatavyo;
1. Mustakabali wa Usajiri kwa wachezaji wetu muhimu waliopo na hatma yao kwa kuzingatia muda wa siku tisa zilizobakia kabla ya dirisha kufungwa.
2. Njia za kutafuta vyanzo vya Mapato kwa klabu yetu ili kuhimili gharama za uendeshaji baada ya kukamilika kwa zoezi la Usajiri (Mishahara, Posho na Kambi kwa timu yetu) ambalo wazee wetu wote wawili wamekubaliana kulifanyia kazi kwa pamoja.
3. Kuangalia nikwa namna gani Klabu itapunguza gharama za uendeshaji ili ziweze kuendana na vyanzo vilivyopo na vijavyo vya mapato.
THE WAY FORWARD
Viongozi wetu hawa wawili wamekubaliana kuzitumia siku tisa zilizobakia kufikia ukomo wa Usajili kwa pamoja wakishirikiana na wanachama na wadau wote wa Yanga na wapo tayari kupokea USHAURI NA MICHANGO ya wanachama wakati wowote ili kufanikisha jambo hili.
Milango iko wazi kwa kwa watu wote wenye mapenzi Mema na Yanga kuweza kuwafikia Viongozi hawa wakati wowote na wapo TAYARI KWA MOYO MKUNJUFU.
TUMEJIRIDHISHA KUWA HAKUKUWAHI KUWA NA TOFAUTI YOYOTE KATI YA WAZEE HAWA BALI UFINYU WA MAWASILIANO NDIO ULIOKUWA UNALETA MITAZAMO TOFAUTI.
YANGA KWANZA MTU BAADAYE
DEO MUTTA
VIVA YOUNG INTERNATIONAL
17/07/2018
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2NVZ9OU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms