Na Mwandishi Wetu, MOSCOW
TIMU ya taifa ya Ufaransa imetwaa ubingwa wa dunia baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Croatia katika mchezo mzuri wa fainali uliofanyika Uwanja wa Luzhniki mjini Moscow, Urusi.
Ahsante kwa wafungaji wa mabao ya Ufaransa leo, Antoine Griezmann, Paul Pogba, Kylian Mbappe na Mario Mandzukic aliyejifunga na kikosi cha kocha Didier Deschamps sasa kinasherehekea Kombe la Dunia.
Ufaransa ilipata bao lake la kwanza dakika ya 18 baada ya Mario Mandzukic kujifunga kufuatia mpira wa adhabu, kabla ya Croatia kusawazisha dakika ya 28 kupitia kwa Ivan Perisic.
Wachezaji wa Ufaransa wakishangilia ubingwa wa dunia baada ya ushindi wao wa 4-2 dhidi ya Croatia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ufaransa wakazawadiwa penalti dakika ya 36 baada ya Teknlojia ya Msaada wa Video (VAR) kuthibitisha Perisic aliunawa mpira na Antoine Griezmann akaenda kufunga kwa shuti zuri.
Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba akaupendezesha ushindi wa Ufaransa kwa bao la tatu dakika ya 59 alipofumua shuti kali kabla ya Kylian Mbappe kufunga la nne dakika sita baadaye.
Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Nestor Pitana kutoka Argentina, Mandzukic akaifungia bao la pili la kufutia machozi Croatia dakika ya 69 akitumia makosa ya kipa wa Ufaransa, Hugo Lloris.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2uAZyhb
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms