Na Mwandishi Wetu, ZURICH
RAIA wa Tanzania Laigwanani Mollel na Ziporah Godfrey Mollel walioshiriki michuano ya soka kimataifa ya Football for Friendship (F4F) wameondoka Urusi kurejea Tanzania wakiwa na ndoto ya kuiwakilisha Tanzania katika Kombe la Dunia siku moja.
Michuano hiyo ya F4F ilishirikisha watoto wenye miaka 12 kutoka nchi 211 na imefanyika kwa mwaka wa sita tangu kuanzishwa kwake.
Laigwanani na Ziporah wakitokea akademi ya Lengo Football ya Arusha Tanzania wameondoka Urusi kurejea Tanzania wakisema ndoto yao kubwa ni kuiwakilisha Tanzania katika Kombe la Dunia siku za usoni.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya michuano ya F4F iliyoshirikisha watoto wenye umri chini ya miaka 12 kutoka nchi 211 duniani
Mchezaji wa Tanzania wa timu ya F4F, michuano iliyoshirikisha watoto chini ya miaka 12
“Niiwakilisha vizuri Tanzania kwa kupeperusha bendera ya taifa kwenye sherehe za ufunguzi wa Kombe la Dunia mwaka huu, ilikuwa kabla ya mechi ya ufunguzi ya Urusi na Saudi Arabia.
“Nilikuwa na uchovu sana baada ya kazi ya siku ile lakini naamini nimepata hamasa ya kuiwakilisha nchi yangu katika Kombe la Dunia siku zijazo kwa mimi mwenyewe kucheza uwanjani,” alisema Laigwanani.
Kwa upande wake, Ziporah alisema; “Nitakua na faraja sana kwa sababu Tanzania haijawahi kufuzu katika fainali za Kombe la Dunia, hivyo nitakuwa ni mimi ninaye iwakilisha nchi yangu.
“Nitajisikia ujasiri na nitaiwakilisha nchi yangu vizuri na najua katika mawazo yangu kuwa siku moja Tanzania itakuwa hapa katika fainali za Kombe la Dunia.”
Program hii ya Kijamii ya F4F ni programu ya kijamii inayojumuisha siku tatu za mafunzo ya soka na kila timu kati ya timu 32 kutoka duniani kote zilizipewa majina ya wanyama walio hatarini kupotea.
Timu zilizoundwa zilijumuisha wachezaji kutoka kila pembe ya dunia, kutoka mataifa makubwa na wadogo bila kujali, dini, tamaduni na ushawishi wa kisiasa na wa kiitikadi.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2KFHZGx
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms