Mshambuliaji mzaliwa wa Burundi, Saido Berahino (katikati) akipongezwa na wenzake usiku wa jana baada ya kuifungia Stoke City bao la kwanza dakika ya 53 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Huddersfield kwenye mchezo wa Raundi ya Pili ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup Uwanja wa Bet365 mjini Stoke-on-Trent, Staffordshire. Bao la pili Juninho Bacuna wa Huddersfield alijifunga dakika ya 90 na ushei.
Mara ya mwisho Berahino alifunga akiwa West Bromwich Albion Februari mwaka 2016, yaani zimepita siku 913 na mechi 47, wakati huo Donald Trump alikuwa bado nyota wa TV. Johan Cruyff, George Michael, Prince, na Muhammad Ali wote walikuwa hai PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2LuVaql
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang BERAHINO AMALIZA UKAME WA MABAO WA SIKU 913. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/08/berahino-amaliza-ukame-wa-mabao-wa-siku.html. Terimakasih atas perhatiannya.