Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KIUNGO wa Yanga SC, Said Juma ‘Makapu’ hatasafiri na timu kwenda Kigali nchini Rwanda kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rayon Sport, kufuatia kufiwa na mama yake mzazi nyumbani kwao Zanzibar.
Taarifa ya Yanga SC jana imesema kwamba mama yake Makapu amefariki dunia jana asubuhi huko Bububu visiwani Zanzibar na mazishi yanatarajiwa kufanyika leo baada ya sala ya Adhuhuri.
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka Dar es Salaam leo kwenda Kigali kwa ajili ya mchezo huo wa mwisho baada ya kushinda mechi moja tu kati ya tano za awali, kufungwa tatu na sare moja.
Said Juma 'Makapu' (kushoto) amefiwa na mama yake mzazi nyumbani kwao, Zanzibar
Mchezo wa Jumatano utakaoanza Saa 9:00 Alasiri Uwanja wa Nyamirambo, utachezeshwa na marefa kutoka Uganda, Mashood Ssali atakayepuliza filimbi akisaidiwa na washika vibendera Mark Ssonko na Dick Okello.
Mchezo wa kwanza baina ya Yanga na Rayon Sport, wote mabingwa wa zamani wa Afrika Mashariki na Kati timu hizo zilimaliza kwa sare ya 0-0 Mei 16 Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.
Yanga SC inashika mkia katika kundi D, ikiwa na pointi nne tu, nyuma ya Rayon yenye pointi sita, wakati Gor Mahia na USM Alger kila moja ina pointi nane na zinamenyana kwenye mechi ya mwisho Jumatano pia mjini Algiers.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2wig9rB
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms