CHIPUKIZI Giovanni Simeone aliifunga bao dakika ya 93 Fiorentina Jumapili na kwenda kumnyooshea mikono kishujaa baba yake, Diego aliyekuwa jukwaani.
The Viola walianza michuano ya Ligi Kuu Italia, maarufu kama Serie A kwa ushindi wa 6-1 dhidi ya Chievo Jumapili, Simeone akifurahia burudani nzuri.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka alipokea pasi kwenye boksi kabla ya kumtungua kipa wa Chievo.
Baada ya refa kupuliza filimbi ya kuhitimisha mchezo, kocha wa Fiorentina, Stefano Pioli alikwenda uwanjani kunyoosha mkono kumuonyesha kocha wa Atletico Madrid, Simeone.
Giovanni Simeone akimnyooshea mikono baba yake kishujaa baada ya bao lake la dakika ya 93 dhidi ya Chievo
Mshambuliaji huyo alifurahi kisha akatabasamu na kumnyooshea mikono kishujaa baba yake huyo maarufu.
Baba yake alionekana mwenye furaha kubwa na kupunga mikono mbele ya kamera akiwa na mkewe, Carla Pereyra na binti yao wa miaka miwili, Francesca.
Diego Simeone ni mwanasoka mstaafu wa Argentina na klabu Vélez Sársfield, Pisa, Sevilla, Atlético Madrid, Inter Milan, Lazio, Atlético Madrid na Racing Club ambazo kwa pamoja alizichezea mechi 513 na kuzifungia mabao 84.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2PG8mfb
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms