Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepitisha marefa 82 kuchezesha Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2018/2019.
Katika orodha hiyo wapo waamuzi wa katikati 30,Waamuzi wasaidizi 46 na Waamuzi 6 wa akiba.
Waamuzi hao ndio watakaokuwa na jukumu la kucheza mechi zote za Ligi Kuu katika msimu husika.
Na uteuzi huo umefanyika baada ya mtihani wa vipimo kwa waamuzi hao uliofanyika mjini Dar es Salaam mapema mwezi huu.
Waamuzi waliopitishwa na ni Athuman Selukala (Arusha), Erick Onoka (Arusha), Alex Magayi (Dar es Salaam), Elly Sasii (Dar es Salaam), Isihaka Mwalile (Dar es Salaam), Israel Nkongo (Dar es Salaam), Mbaraka Rashid (Dar es Salaam), Nadim Aloyce Leonard (Dar es Salaam) na Liston Hiyari (Dar es Salaam).
Wengine ni Florentina Zabron (Dodoma), Ally Simba (Geita), Amada Simba (Kagera),Jonesia Rukyaa (Kagera), Hussein Athumani (Katavi), Shomari Lawi (Kigoma), Alfred Vitares (Kilimanjaro), Jacob Adongo (Mara) na Benedict Magai (Mbeya).
Wengine ni Athumani Lazi, (Morogoro), Fikiri Yussuf (Morogoro), Martin Saanya (Morogoro), Abubakar Mturo (Mtwara), Daniel Warioba (Mwanza), Emmanuel Mwandembwa (Mwanza), Ludovick Charles (Mwanza), Ahmad Seif Mbaraka (Pwani), Nassoro Mwinchui (Pwani), Jimmy Fanuel (Shinyanga), Meshack Suda (Singida) na Hance Mabena wa Tanga.
WAAMUZI WASAIDIZI LIGI KUU TANZANIA BARA 2018/19
1
Agnes Pantaleo
Arusha
2
Abdallah Uhako
Arusha
3
Gasper Keto
Arusha
4
Frank Komba
Dar es Salaam
5
Germina Simon
Dar es Salaam
6
Hamis Changwalu
Dar es Salaam
7
Helen Mduma
Dar es Salaam
8
Iddi Mikongoti
Dar es Salaam
9
Kassim Mpanga
Dar es Salaam
10
Lulu Mushi
Dar es Salaam
11
Omary Kambangwa
Dar es Salaam
12
Shaffi Mohamed
Dar es Salaam
13
Soud Lilla
Dar es Salaam
14
Charles Simon
Dodoma
15
Godfrey Msakila
Geita
16
Janet Balama
Iringa
17
Rashid Zongo
Iringa
18
EDGER LYOMBO
Kagera
19
Grace Wamala
Kagera
20
Jamada Ahmada
Kagera
21
Athuman Rajab
Kigoma
22
SUDI HUSSEIN
Kigoma
23
Sylvester Mwanga
Kilimanjaro
24
Leonard Mkumbo
Manyara
25
Robert Ruemeja
Mara
26
John Kanyenye
Mbeya
27
Mashaka Mandembwa
Mbeya
28
Jesse Erasmo
Morogoro
29
Nickolas Makaranga
Morogoro
30
Consolata Lazaro
Mwanza
31
Frednand Chacha
Mwanza
32
Josephat Masija
Mwanza
33
Michael Mkongwa
Njombe
34
Abdalah Rashid
Pwani
35
Kasim Safisha
Pwani
36
Khalfani Sika
Pwani
37
Japhet Kasiliwa
Rukwa
38
Joseph Pombe
Shinyanga
39
Julius Kasitu
Shinyanga
40
Makame Mdogo
Shinyanga
41
Anold Bugardo
Singida
42
Justina Charles
Tabora
43
Martin Mwaliaje
Tabora
44
NESTORY LIVANGALA
Tabora
45
Haji Mwarukuta
Tanga
46
Mohamed Mkono
Tanga
WAAMUZI WA AKIBA 2018/19
1
Steven Daudi Makuka
Iringa
2
Ahmadi Benard Augustino
Mara
3
Ally Mkonge
Mtwara
4
Abdallah Kambuzi
Shinyanga
5
Shabani Msangi
Singida
6
Omary Mdoe
Tanga
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2LgCVoi
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MAREFA 82 WAPITISHWA KUCHEZESHA LIGI KUU MSIMU WA 2018-2019. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/08/marefa-82-wapitishwa-kuchezesha-ligi.html. Terimakasih atas perhatiannya.