Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KIKOSI cha mabingwa wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), Mtibwa Sugar kesho kitashuka katika dimba la Bandari jijini Dar es salaam kucheza dhidi ya KMC ya jijini Dar es Salaam.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni, huku mchezo wa ufunguzi ukiwa Reha dhidi ya Transit Camp.
Washindi wa michezo hiyo watacheza fainali siku ya Jumapili katika uwanja wa Bandari huku waliopoteza michezo hiyo wakicheza mshindi wa tatu . Mechi hizo zimeandaliwa na timu ya Reha Football Club ili kuadhimisha wiki ya Reha.
Kwa Mtibwa mechi hizo ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya mabingwa wa Ligi Kuu, Simba SC Agosti 18, mwaka huu Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza, Swabur amesema kwamba yanaendelea vizuri na kikosi kwa sasa kipo kambini Manungu, Turiani mkoani Morogoro.
Kwa sasa benchi la Ufundi la Mtibwa Sugar linaongozwa na Mkurugenzi wa Ufundi, Salum Mayanga, Kocha Mkuu Zubery Katwila na Kocha Msaidizi, Patrick Mwangata, ambaye pia ni kocha wa makipa wote wachezaji wake wa zamani.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2vZgkHe
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms