KLABU ya Real Madrid imethibitisha kumsajili Thibaut Courtois kutoka Chelsea kwa ada ya Pauni Milioni 35 na mkataba wa miaka sita.
Kipa huyo atakamilisha vipimo vyake vya afya kesho na kutambulishwa makao makuu, Uwanja wa Santiago Bernabeu Saa 6:00 mchan, kabla ya kwenda kwenye mkutano na Waandishi wa Habari.
Mateo Kovacic atahamia upande mwingine kwa mkopo wa muda mrefu wa msimu mara dili la Courtois litakapokamilika.
Taarifa ya Chelsea imesema; "Chelsea na Real Madrid usiku huu zimekubaliana vipengele vya uhamisho wa moja kwa moja wa Thibaut Courtois iwapo makubaliano binafasi yatafikiwa naye akifaulu vipimo vya afya
Thibaut Courtois anajiunga na Real Madrid kutokChelsea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
"Dili hili likikamilika Mateo Kovacic atajiunga na Blues kwa mkopo wa muda mrefu,".
Mzuia michomo hiyo wa kimataifa wa Ubelgiji amekuwa akihangaikia kuondoka Stamford Bridge kipindi chote cha majira ya joto.
Alifikia kugoma kujiunga na timu hiyo na hakurejea kujiunga na Chelsea kwa maandalizi ya msimu mpya katika kushinikiza uhamisho wake mji mkuu wa Hispania.
Na kwa sababu hiyo, Chelsea ikafungua taratibu za hatua za kinidhamu dhidi ya kipa huyo mwenye umri wa miaka 26 na inatarajiwa kumkata mshahara wa wiki mbili, kiasi cha Pauni 200,000.
Uhamisho huo unakuja baada ya Chelsea kumsajili haraka mbadala wa kipa huyo, kufuatia kukubali kumnunua mlinda mlango wa Athletic Bilbao, Kepa Arrizabalaga.
The Blues watavunja rekodi ya dunia ya usajili wa kipa, ambayo iliwekwa na Liverpool kwa kipa Mbrazil, Alisson kwa ada ya Pauni Milioni 72 kwa kipa huyo wa kimataifa wa H.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2OOo8Ex
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang REAL MADRID YAMTANGAZA RASMI COURTOIS KIPA WAKE MPYA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/08/real-madrid-yamtangaza-rasmi-courtois.html. Terimakasih atas perhatiannya.