Na Mwandishi Wetu, LINDI
KIKOSI cha Simba SC kimewasili salama wilayani Ruangwa mkoani Lindi leo, tayari kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Namungo FC kuzindua Uwanja wa Majaliwa.
Ikiwa siku mbili tu tangu watoke sare ya 1-1 na Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo mwingine wa kirafiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Simba SC kesho watamenyana na Namungo FC ya Daraja la Kwanza Tanzania Bara.
Katika mchezo huo, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Kassim Majaliwa ambaye Uwanja wake ndiyo unazinduliwa.
Basi la wachezaji wa Simba SC baada ya kuwasili Uwanja wa Majaliwa
Kocha wa Simba SC, Mbelgiji Patrick J Aussem akizungumza na Mwandishi wa Habari baada ya kuwasili
Kwa Simba SC, mchezo huo utakuwa sehemu ya maandakizi ya mchezo wake wa Ngao ya Jamii Aggosti 19 Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza dhidi ya Mtibwa Sugar.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2vTNRTi
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms