Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TANZANIA imeendelea kubaki nafasi yake ya 140 kwenye viwango vya soka duniani kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na FIFA.
Kwa upande wa Afrika Mashariki inaongozwa na Uganda ambayo iliyobaki nafasi 82, ikifuatiwa na Kenya nafasi ya 112, Rwanda nafasi ya 136, Tanzania nafasi ya 140, Burundi nafasi ya 148 na Sudan Kusini ikiwa nafasi ya 156.
Ufaransa imekamata nafasi ya kwanza ikiwa imepanda kwa nafasi sita ikifuatiwa na Ubelgiji ambayo imepanda kwa nafasi moja. Brazil imekamata nafasi ya tatu ikishuka kwa nafasi moja huku Croatia ikiwa imepanda ka nafasi 16 hadi nafasi ya nne.
Uruguay ni ya tano ikiwa imepanda kwa nafasi tisa, England nafasi ya sita ikipanda kwa nafasi sita, wakati Ureno imeshuka kwa nafasi tatu hadi nafasi ya saba.
Nafasi ya nane inashikiliwa na Uswizi ambayo imeshuka kwa nafasi kwa nafasi mbili, Hispania ni ya tisa ikiwa imepanda kwa nafasi moja sawa na Denimark iliyopanda kwa nafasi tatu wakati Argentina ikiwa nafasi ya 11 baada ya kuporomoka kwa nafasi sita.
Kwa upande wa bara la Afrika, Tunisia inaongoza ikiwa nafasi ya 24, sawa na Senegal ambayo imepanda kwa nafasi tatu, zikifuatiwa na DRC iliyo nafasi ya 37, Ghana nafasi ya 45, Morocco nafasi ya 46, Cameroon nafasi ya 47 na Nigeria ikiwa nafasi ya 49 baada ya kushuka kwa nafasi moja.
Misri imeshuka kwa nafasi 20 hadi nafasi ya 65.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2nIqpVj
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms