MABONDIA Tyson Fury na Deontay Wilder jana walitaka kupigana wakati zoezi la kupima uzito kwenye hoteli.
Wilder alisafiri kwenda Belfast kutoka Marekani kumuona Fury akipima uzito na kuonyesha amekuwa mwepesi baada ya muda mrefu tangu alipotwaa ubingwa wa dunia kwa kumdunda Wladimir Klitschko.
Fury anatarajiwa kupigana na Mmarekani huyo anayesifika kwa ngumi zake nzito, iwapo atafanikiwa kumshinda Mtaliano Francesco Pianeta Uwanja wa soka wa Windsor Park, Jumamosi.
Wilder ndiye aliyeanza kumbeza Tyson ambaye alikasirika na kutaka kuzichapa 'kavu kavu' na Mmarekani huyo. Baba wa Fury, John akaingilia kati kwa kujibizana na Wilder.
Tyson Fury na Deontay Wilder jana walitaka kupigana wakati zoezi la kupima uzito kwenye hoteli PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wilder akamuambia baba yake Tyson Fury; "NItamfufua babu yangu kaburini kwake aje akupige wewe mzee.’
Wilder pia akamkandia Anthony Joshua kwa kusema: "Tyson atashinda Jumamosi usiku na kisha nitampiga mimi tukikutana. Joshua ni habari za zamani. Mtoto mpya mjini ni Fury na letu ni pambano kubwa,".
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2Pg9nKO
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang TYSON FURY NA DEONTAY WILDER WATAKA KUZIPIGA 'KAVU KAVU'. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/08/tyson-fury-na-deontay-wilder-wataka.html. Terimakasih atas perhatiannya.