Na Lulu Ringo, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Stand United, Alex Kitenge raia wa Burundi ameahidi kufunga ‘hat trick’ zaidi japokuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemnyima mpira wake baada ya kuifunga Yanga mabao matatu katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa Semptemba 16 Taifa, Dar es Salaam.
Juzi wakati timu ya Stand ikikubali kichapo cha mabao 4-3 Mrundi huyu ndie mchezaji alieipatia timu yake mabao hayo matatu ‘hat trick’ lakini hadi kufikia leo hii cha kustaajabisha hajakabidhiwa mpira huo kama ilivyo desturi ya mpira mchezaji anaefunga magoli matatu hukabidhiwa mpira uliotumika katika mchezo huo
Alex Kitenge alikabidhiwa mpira halafu akanyang'anywa Jumapili baada ya kupiga hat trick dhidi ya Yanga
Akizungumza na Bin Zubeiry Sports - Online mchezaji huyo amesema kilichotokea kwake ni jambo la kawaida na haliwezi kumtoa mchezoni isipokuwa atajitahidi kufunga hat trick nyingine nyingi.
“Hili swala nalichukulia kawaida, haliweza kunitoa mchezoni, siwezi sema kwa kua wameninyima mpira nitoke mchezoni hapana nitapigana, Mungu anisaidie nifunge zingine jambo hili haliwezi ni sumbua wala kuniletea matatizo”. Ameeleza Kitenge.
Hata hivyo Alex ameeleza kuwa chanzo cha kutopewa mpira huo na TFF ni upungufu wa mipira inayotumika katika michezo ya Ligi kuu.
“waliniambia kuwa kuna mipira 15 inayotumika kuchezea Ligi hivyo mimi nisubiri watanitafutia mpira mwingine mpya na sijui hata ni lini watanipa” amesema mchezaji huyo
Kufuatia kuchelewa kwa makabidhiano ya mpira huo Alex ameamua kutofuatilia tena mpira huo na kilichobaki ni yeye kuhakikisha anafanya kazi yake vizuri.
“Sijui ni lini watanipa mpira wangu mimi nimeamua kutouulizia tena, acha nifanye kazi yangu kwa usalama maana hata nikisema niufatilie ntamuuliza nani ?”. Amesema Mrundi huyo.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2PQPl9n
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms