Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MAKOCHA wote Wasaidizi wa Singida United, Jumanne Challe na Mfaume Athumani wamejitoa kwenye timu hiyo wakishinikiza kulipwa stahiki zao.
Wawili hao hawakuwepo benchi jana wakati Singida United ikichapwa mabao 3-2 na wenyeji, African Lyon katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam japokuwa walisafiri na timu kutoka Singida.
Akizungumza na Bin Zubeiry Sports – Online baada ya kuulizwa juu ya kutokuwepo benchi jana, Samatta, kipa wa zamani wa Yanga SC alisema kwamba wamejiondoa kwa sababu hawana mikataba na pia wanadai fedha zai nyingi.
Mfaume Athumani na Jumanne Challe wamejiondoa Singida United
“Nimekuja Dar es Salaam, lakini mimi nina madai yangu hawajanipa bado na sina mkataba nao. Siwezi kuendelea kufanya kazi bila mkataba,”amesema baada ya kuulizwa juu ya kutokuwepo benchi jana.
Samatta ameongeza kwamba amekuwa aifuatilia suala la mkataba na haki zake, lakini kwa msimu wa pili sasa utekelezaji umekuwa tatizo.
“Tangu timu ianze Ligi Kuu nimekuwa ninafanya kazi bila mkataba, nilikuwa ninafanya kazi kama kibaruwa na kila nikiomba mkataba wananizungusha. Na tumeondoka na Challe pia, tunadai fedha nyingi hatujalipwa. Kama wanataka turudi kazini watupe stahiki zetu,”amesema.
Kwa upande wake, Samatta amesema tayari ana ofa kutoka timu tatu ambazo atajiunga nazo iwapo Singida itashindwa kumlipa haki zake arejee kazini.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2O1aWyo
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms