Na Lulu Ringo, DAR ES SALAAM
LICHA ya kikosi cha Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union na kuchukua pointi tatu kisha kukaa kileleni mwa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, kocha wa timu hiyo, Mwinyi Zahera ameonekana kutoridhishwa na kiwango cha wachezaji wake.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Zahera amesema wachezaji wake wamekuwa na makosa mengi sana ya wazi yanayosababisha timu hiyo kutoka na ushindi mwembamba uwanjani.
“Wachezaji hawabadiliki angalia mchezo dhidi ya Algeria (USM Alger), mechi dhidi ya Mtibwa (Sugar), dhidi ya Stand (United) na hii, tumekuwa na ushindi wa mabao 2-0, 2-1, 4-3,”.
“Tatizo la wachezaji wangu hawana umakini tunapata goli tunakuwa kama watoto, wachezaji wanafanya vitu vya hovyo mwangalie Makambo (Heritier), mshambuliaji unapewa mpira unarudisha nyuma,” alisema Zahera.
Kocha wa Yanga SC, Mwinyi Zahera (katikati) haridhishwi na kiwango cha wachezaji wake
Hata hivyo, Zahera amemsifu kiungo Ibrahim Ajib kwamba kwa sasa amekuwa ana msaada kwenye timu tofauti na awali. Amesema Ajib amekuwa na utulivu uwanjani hali inayomsababisha kucheza
vizuri.
“Ajibu amebadilika si yule wa kucheza na kushindwa kufunga anapata mpira na kufunga na amekuwa na nidhamu ya mpira,” alisema Zahera.
Yanga inaongoza ligi kwa pointi tisa baada ya ushindi wa jana dhidi ya Coastal Union, Azam FC wametoka suluhu jana dhidi ya Biashara United ikiwa ni sare ya pili. Mchezo wa Simba na Mbao FC unachezwa leo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza ndiyo utakaoamua timu gani ibaki kileleni.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2QLWUPF
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms