Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MABINGWA wa Azam Sports Federation Cup (ASFC), Mtibwa Sugar wamefanikiwa kuingia mkataba mpya na kiungo wake mshambuliaji Ismail Aidan Mhesa.
Mhesa alikuwa anatumikia mwaka wake wa mwisho ambao ungemalizika mwishoni mwa msimu huu na sasa ameongeza miaka miwili hivyo Ismail Aidani Mhesa ataendelea kudumu Mtibwa Sugar hadi 2021.
Akizungumza na tovuti hii leo, Abubakar Swabr juu ya mkataba wa Mhesa amesema wameboresha mkataba wa awali na hivyo ataendelea kuitumikia Mtibwa hadi 2021.
Ismail Aidan Mhesa ataendelea kuitumikia Mtibwa Sugar hadi mwaka 2021
“Tumefikia makubaliano na Ismail Aidan Mhesa ya kuongeza miaka miwili na alikuwa anatumikia mwaka wake wa mwisho hivyo tumefikia makubaliano ataendelea kudumu Mtibwa Sugar hadi 2021, ni furaha kwetu kwa kwakuwa tumemuongeza mkataba mtu sahihi kutokana na kipaji kikubwa alichonacho” amesema Katibu Msaidizi wa Mtibwa Sugar, Abubakar Swabr.
Ismail Aidan Mhesa alijiunga na timu ya vijana ya Mtibwa Sugar tangu 2014 na mwaka jana alipandishwa hadi kikosi cha timu ya wakubwa akitokea timu ya vijana ya Mtibwa Sugar.
Kiungo huyo mshambuliaji pia ametoa mchango mkubwa kwa wana tam tam msimu 2017/2018 baada kuwa mmoja ya wachezaji waliobeba kombe la Azam Sports Federation Cup.
Huyo ni Mchezaji huyo Bora wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzania (TFF), Azam Sports Federation Cup (ASFC) katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Singida United Juni 2, mwaka huu Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha.
Na msimu huu ameuanza vizuri baada ya kufunga bao moja katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Manungu, Turiani mjini Morogoro.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2xfZHro
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms