Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF)leo limemtangaza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi kuwa mlezi wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys.
Taarifa ya TFF leo imesema kwamba Mengi amekuwa akiifuatilia kwa karibu timu hiyo na amekuwa mmoja wa wadau wakubwa wa soka la vijana.
"Amekuwa ni mpenda maendeleo ya mpira wa Miguu hususani soka la Vijana na amekuwa shabiki mkubwa wa Serengeti Boys,".
Mzee Reginald Mengi ameteuliwa kuwa mlezi wa Serengeti Boys
"TFF tunaamini tutashirikiana vizuri na Ndugu Mengi katika maendeleo na ustawi wa soka la Vijana. Mengi ni mwanamichezo ambaye hakika amekuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuendeleza soka la Vijana," amesema.
Taarifa hiyo imesema kwamba mara kadhaa Mengi amekuwa akiwasiliana na TFF kufuatilia maendeleo ya timu ya Taifa ya U17 kwenye mashindano mbalimbali.
"TFF tunafarijika kwa Ndugu Mengi kukubali kuwa mlezi wa timu hii ya Serengeti Boys na tunaamini kwa pamoja tutaifanya timu hii kuwa msingi mzuri katika maendeleo ya ustawi wa soka la Vijana,".
Mengi ni mwana michezo kihistoria, ambaye anafahamika kama mpenzi wa klabu ya Yanga, ambaye mwaka 1995 aliishauri klabu hiyo kuwa Kampuni na kuachana na desturi ya kutegemea wafadhili wa Kiasia.
Lakini pia, Mzee Mengi amewahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya timu ya taifa ya wakubwa, Taifa Stars ambayo wakati mwingine iliwajibika kusaidia timu za vijana pia.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2NN3vHZ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms