Na Mwandishi Wetu, MONROVIA
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Kpah Sherman jana aliifungia timu yake ya taifa, Liberia ikichapwa 2-1 na Nigeria katika mechi ya kuistaafisha jezi ya gwiji na Rais wa nchi hiyo, George Weah.
Rais wa Liberia, George Weah jana aliichezea mechi ya kirafiki nchi yake akiwa ana umri wa miaka 51 ikifungwa 2-1 na Nigeria mjini Monrovia.
Weah, mwanasoka wa kwanza wa Afrika kushinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Dunia wa FIFA, alicheza kwa dakika 79 iliyoandaliwa maalum kuistaafisha jezi namba 14 iliyokuwa inatumiwa na gwiji huyo enzi zake.
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Kpah Sherman akiifungia Liberia kwa penalti jana
Rais wa Liberia, George Weah jana aliichezea Liberia akiwa ana umri wa miaka 51
Mshambuliaji huyo wa zamani wa AC Milan, aliyechaguliwa kuwa Rais wa Liberia Januari mwaka huu, alipewa heshia maalum wakati anatolewa uwanjani.
Nigeria iliteremsha kikosi chake kamili kilichohusisha nyota wake kama Wilfred Ndidi wa Leicester City na kiungo mwenzake, Peter Etebo wa Stoke City zote za England. Ndidi na mchezaji mwenzake, Kelechi Iheanacho waliingia kipindi cha pili.
Mabao ya Super Eagles yalifungwa na Henry Onyekuru anayecheza kwa mkopo Galatasaray kutoka Everton na Simeon Nwankwo akimalizia kona ya Etebo, wakati la Liberia lilifungwa na mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Kpah Sherman kwa penalti.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2NIe8Py
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms