Na Nasrsah Omary, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungia maisha kutojihusisha na soka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi TFF, wakili Revocatus Kuuli.
Akitaja hukumu hiyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili TFF, Hamidu Mbwezeleni, alisema wamemfungia wakili huyo kutokana na kukiuka misingi ya katika ya TFF.
Mbwezeleni alisema Kuuli alikiuka misingi ya katiba ya TFF kwa kusambaza nyaraka ya siri aliyetumiwa na Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao hivi karibuni juu ya suala la uchaguzi wa klabu ya Simba.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili TFF, Hamidu Mbwezeleni wakati akitangaza kumfungia Wakili Revocatus Kuuli leo
Kuuli amefungiwa baada ya kufunguliwa mashitaka matatu kufuatia sakata la uchaguzi Simba uliofanyika jana mjini Dazr es Salaam.
Shitaka la kwanza la Kuuli ni kusambaza barua za TFF kinyume cha kufungu cha 16 (1) cha kanuni za Maadili za TFF tole la mwaka 2013 kinyume cha ibara ya 12.1 (b).
Shitaka la pili ni kutoa maelezo yanayoonyesha kuwa na mgongano wa maslahi kwa kuwapa watu wasiohusika kinume cha kifungu cha 16 (2) cha kanuni za Maadili za TFF na kosa la tatu ni kufanya vitendo vinavyoshuhsa hadhi ya shirikisho kinyume cha ibara ya 50 (1).
Na haya yote yanatokea wakati tayati TFF imekwishafanya mabadiliko ya Kamati ya Uchaguzi, ikimuondoa Kuuli na wenzake wote na kumteua Malangwe Ally kuwa Mwenyekiti mpya.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2PIDTjm
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms