Edinson Cavani (kushoto) akiwatazama washambuliaji wenzake, Kylian Mbappe na Neymar wakishangilia baadsa ya wote kuifungia Paris Saint-Germain katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Red Star Belgrade kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Rajko Mitic mjini Belgrade. Cavani alifunga dakika ya tisa, Neymar dakika ya 40 na Mbappe dakika ya 90 na ushei, wakati bao lingine la PSG lilifungwa na Marcos Aoas Correa 'Marquinhos' dakika ya 74, huku la Red Star Belgrade likifungwa na Marko Gobeljic dakika ya 56.
Kwa matokeo hayo, PSG inamaliza kileleni mwa kundi hilo kwa pointi zake 11, ikifuatiwa na Liverpool yenye pointi tisa na zote zinafuzu hatua ya 16 Bora zikizipiku Napoli iliyomaliza na pointi tisa pia na Red Star Belgrade pointi nne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2UFtGnR
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang CAVANI, NEYMAR NA MBAPPE WOTE WAFUNGA PSG YAUA 4-1 UGENINI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/12/cavani-neymar-na-mbappe-wote-wafunga.html. Terimakasih atas perhatiannya.