Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SIMBA SC itamkosa kiungo wake Hassan Dilunga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya timu ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam kufuatia kufungiwa mechi tatu.
Kamati ya usimamizi na Uendeshaji wa Ligi ya Bodi ya Ligi Tanzania Bara (TLB) imemfungia mechi tatu Dilunga pamoja na beki wa Lipuli FC ya Iringa, Ibrahim kwa kosa la kuchelewa kuondoka uwanjani baada ya kukamilika kwa dakika za kipindi cha kwanza.
Tukio hilo lilitokea katika mchezo wa Ligi Kuu baina ya timu hizo Novemba 23, mwaka huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam uliomalizika kwa sare ya 0-0 na wachezaji hao walitegeana kuondoka uwanjani baada ya kipindi cha kwanza.
Hassan Dilunga hatakuwepo kwenye mechi na KMC leo jioni kufuatia kufungiwa mechi tatu
Sambamba na adhabu hiyo, wachezaji hao wawili kila mmoja ametakiwa kulipa faini ya Sh. 500,000 kabla ya kumaliza kifungo chao.
Tayari Ibrahim Job, beki wa zamani wa Yanga SC alianza kutumikia adhabu yake kwenye mchezo uliopita wa timu yake wa ugenini dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, Lipuli FC wakiibuka na ushindi wa 2-0.
Simba SC yenye pointi 27 za mechi 12, inahitaji ushindi leo ili kuzifukuza timu zilizo juu yake katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu, zinazoongozwa na Yanga SC wenye pointi 44 ikifuatiwa na Azam FC yenye pointi 40 baada ya wote kucheza mechi 16.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2Cm52kV
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms