• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ▼  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ▼  Februari (365)
      • Phaka Predictions - Super Rugby 2019 - Round 3
      • Greyville Best Bets Friday 1 March 2019
      • Fairview Best Bets Friday 1 March 2019
      • UFC 235: Tyron Woodley vs Kamaru Usman Preview
      • Super Rugby Round 3: Lions vs Bulls Preview
      • Super Rugby Round 3: Sharks vs Stormers Preview
      • Opinion: Amla questions will answer themselves
      • Super Rugby Round 3: Friday Preview
      • WATCH: Midweek Soccer Match-day Moments
      • TIBAR JOHN WA SINGIDA UNITED AENDA ULAYA KUJIUNGA ...
      • IDDI NADO APIGA BAO LA KUOMBEA RADHI MBEYA CITY BA...
      • SUAREZ APIGA MBILI BARCELONA YAAICHAPA REAL MADRID...
      • CHELSEA YAONYESHA BADO IMARA, YAICHAPA SPURS 2-0 D...
      • OZIL NA MKHITARYAN WOTE WAFUNGA ARSENAL IKISHINDA 5-1
      • AGUERO AFUNGA KWA PENALTI MAN CITY YAICHAPA 1-0 WE...
      • LUKAKU AFUNGA MAWILI MAN UNITD IKIICHAPA CRYSTAL P...
      • SADIO MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAITANDIKA 5-0 WA...
      • SA Classic, SA Fillies Classic, and Hawaii Stakes ...
      • Spanish La Liga: Week 26 Preview
      • Phaka Show Facebook Promotion: Win a R500 betting ...
      • Italian Serie A: Week 26 Preview
      • Warriors hand Dolphins first MODC defeat
      • German Bundesliga: Week 24 Preview
      • German Bundesliga: Week 24 Preview
      • PSL: Week 22 Preview
      • Vaal Best Bets Thursday 28 February 2019
      • NFD: Week 22 Preview
      • IDDI CHECHE AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO YAKE KILA AK...
      • DI MARIA APIGA MBILI PSG IKIICHAPA 3-0 DIJON LIGUE 1
      • ALLIANCE WANATAKIWA KUHAMISHIA MAFANIKIO YAO YA DA...
      • JAPOKUWA AZAM FC NA YANGA ZINAPEWA NAFASI KUBWA AS...
      • European Tour: The Oman Open Preview
      • KICHUYA ATOKEA BENCHI BADO DAKIKA 10 ENNPI YACHAPW...
      • PGA Tour: Honda Classic Preview
      • LIPULI FC 1-3 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • PRO 14: Round 17 Preview
      • Gallagher Premiership Round 15 Preview
      • Top 14 Round 18 Preview
      • Hollywoodbets YouTube Subscriber Promotion Ts and Cs
      • FIFA YAMFUNGIA MAISHA REFA WA TANZANIA KWA RUSHWA ...
      • SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAI...
      • WTA Tour: Mexican Open Ro32 Selected Fixtures Preview
      • Super Rugby: Round 3 (Saturday) Preview
      • ATP Tour: Dubai Duty-Free Tennis Championship Ro16...
      • HSBC Sevens: Las Vegas Sevens Preview
      • El Clasico: Real Madrid vs Barcelona Preveiw
      • West Indies v England: Fourth ODI Preview
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA MOSES MKANDAWILE
      • Scottsville Wednesday 27 February 2019 Best Bets
      • Super Rugby Team of the Week: Round 2
      • AZAM FC YAIPIGA RHINO RANGERS 3-0 NA KUIFUATA YANG...
      • HIMID MAO AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO PETROJET IKISHI...
      • Settled Dolphins out to continue winning form
      • English Premier League: 5 Talking Points
      • Predict & Win: 1 of 3 R200 Betting Vouchers Up for...
      • Kenilworth Best Bets Tuesday 26 February 2019
      • Settled Dolphins out to Continue Winning Form
      • South African PSL: 5 Talking Points
      • Varsity Cup 2019: Round 4 Preview
      • Top Reactions | Carabao Cup Final and Manchester U...
      • Fairview Best Bets Monday 25 February 2019
      • NAMUNGO FC 0-1 YANGA SC (KOMBE LA TFF)
      • MANCHESTER CITY WABEBA KOMBE LA LIGI ENGLAND BAADA...
      • BENZEMA, BALE WAFUNGA KWA PENALTI REAL MADRID YAIC...
      • Super Rugby: Round Two Review
      • ARSENAL YASHINDA 2-0 NA KUREJEA 'NNE BORA' ENGLAND
      • MANCHESTER UNITED YATOKA SARE 0-0 NA LIVERPOOL LEO...
      • YANGA SC YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA Y...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA MAO MKAMI
      • SIMBA IKIFANYA MAMBO HAYA, KAGERE ANACHUKUA KIATU ...
      • MSUVA AFUNGA MABAO MAWILI DIFAA HASSAN EL JADIDI Y...
      • MALOTA ALIVYOMKOSAKOSA PAUL RWECHUNGURA SIMBA NA P...
      • EUBANK JR AMSHINDA KWA POINTI DEGALE NA KUTWAA TAJ...
      • MESSI APIGA HAT-TRICK BARCELONA YASHINDA 4-2 LA LIGA
      • SINGIDA UNITED YATINGA ROBO FAINALI ASFC BAADA YA ...
      • AZAM FC YAWAFUKUZA PLUIJM NA MWAMBUSI BAADA YA KIP...
      • MTIBWA SUGAR YAVULIWA UBINGWA ASFC, YAPIGWA KWA PE...
      • AZAM FC NA SIMBA SC KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA
      • KAGERE APIGA MBILI, BOCCO MOJA SIMBA SC YAWATANDIK...
      • Greyville Best Bets Sunday 24 January 2019
      • Turffontein Best Bets Saturday 23 February 2019
      • Kenilworth Best Bets Saturday 23 February 2019
      • India vs Australia: First T20 Preview
      • NBA 23 February Preview
      • Super Rugby: Stomers vs Lions Preview
      • WTA Tour: Dubai Tennis Champs SFs Preview
      • West Indies v England: Second ODI Preview
      • Will there be a SA Triple Crown Winner in 2019?
      • ATP Tour: Open 13 Selected QFs Preview
      • Dolphins hoping to continue winning MODC start
      • ARSENAL YASONGA MBELE EUROPA LEAGUE BAADA YA KUICH...
      • CHELSEA YAICHAPA MALMO FF 3-0 NA KUSONGA MBELE EUR...
      • SAMATTA ATUPWA NJE EUROPA LEAGUE BAADA YA GENK KUT...
      • Greyville Best Bets Friday 22 February 2019
      • Fairview Best Bets Friday 22 February 2019
      • Opinion: Super Rugby 2019: Ghosts of Seasons Past
      • Predict & Win: Stand a Chance to Win 1 of 5 R200 B...
      • Phaka Predictions: Super Rugby 2019 - Round 2
      • Top 10 Reactions from Atletico Madrid's triumph ov...
      • MSHAMBULIAJI MDENMARK MWENYE ASILI YA TANZANIA, YU...
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » ALLIANCE WANATAKIWA KUHAMISHIA MAFANIKIO YAO YA DARASANI KATIKA SOKA

ALLIANCE WANATAKIWA KUHAMISHIA MAFANIKIO YAO YA DARASANI KATIKA SOKA

Na Frederick Daudi, DAR ES SALAAM
NI matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri na shughuli za hapa na pale hasa za kimichezo na masomo. Kama mnavyoona hapo juu, barua yangu ina kichwa lakini haina anuani ya mwandikiwa. Hii ni ishara kwamba ni barua ya kirafiki kutoka kwangu kuja kwenu. Nina mambo machache nataka kuwapongeza na panapobidi niwape ushauri wangu mdogo katika mbio zenu za kufikia vilele vya mafanikio. Kwa kuwa hii ni barua ya kirafiki, haifungwi na urefu hivyo naomba muisome yote bila kuishia njiani.
Mimi ni miongoni mwa vijana waliovutiwa sana na mfumo wa uendeshaji wa academi yenu ya michezo. Kilichonivutia zaidi ni kuona vijana wadogo, wanafunzi wakifanya vizuri sana kwenye kila mashindano ya ndani na nje ya nchi mlioshiriki.
Sijui kwanini nilikuwa na mahaba na timu yenu. Labda ni kwa sababu na mimi kipindi hicho nilikuwa mwanafunzi wa Sekondari kama miongoni mwa wachezaji wenu.
Nilifurahi zaidi nilipoona nia yenu ya kutaka kushiriki ligi kuu Tanzania (wakati huo ikiitwa VPL).  Nami nikaazimia moyoni kwamba, nitakuwa shabiki wa Alliance kama watapanda ligi kuu. 
Mpira wenu wa kuvutia wenye kila udambwi dambwi uliochagizwa na uwezo wa vijana wanyumbulifu wenye vipaji lukuki, uliwafanya mpigiwe shangwe na nderemo kila mlipocheza.
Nakumbuka kuna mechi moja mlicheza huko kwetu Rorya, pale Shirati dhidi ya Rorya Combine na kuwalaza watu wazima hao mabao 3-0. Watu wakasema, hawa watoto wameiva. Nawakumbusha tu, sijui mnakumbuka hili au mmeshasahau?
Msimu wa mwaka 2016/2017 mkiwa na kikosi bora kabisa kwenye ligi daraja la kwanza, niliamini kwamba mnapanda ligi kuu. Lakini kichapo cha mabao 2-0 mlichopata pale Namfua katika mechi yenu ya mwisho dhidi ya Singida united kiliwanyima fursa. Msimu huo, Singida iliyokuwa chini ya Fred Felix Minziro ilipanda ligi kuu huku nyie mkibaki ligi daraja la kwanza. Wakazi wa Mwanza na watu wenye mahaba nanyi waliumia sana lakini, mkasema ngoja mjipange msimu ujao.
Msimu uliofuatia, mwaka 2017/2018 ndipo kwa mara ya kwanza Alliance ikapata tiketi ya  kupanda ligi kuu. Lakini safari haikuwa nyepesi kwani iliwalazimu kumaliza katika nafasi ya pili nyuma ya Biashara united ya Mara ambayo ilikuwa vizuri sana mwaka ule. Ndipo Biashara na Alliance zikapanda ligi kuu kutoka kundi C.
Sijui ni ugeni wa ligi, sijui kulikuwa na tatizo gani ila ninachokijua ni kwamba mlianza ligi vibaya sana katika msimu wenu wa kwanza kwenye ligi kuu Tanzania (TPL) mwaka 2018/2019. Watanzania wakaanza kuwatabiria mapema kwamba mtarudi mlikotoka.
Mkurugenzi wa Alliance, ndugu James Marwa Bwire, mtu asiyetaka kushindwa hakufurahishwa na hali ile. Ndipo akaanza kufanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi. Ikambidi Mbwana Makata ampishe Baptiste Kayiranga.
Mambo yakawa bado hayaeleweki. Ndipo Malale Hamsini akapewa jukumu la kuinoa Alliance kama kocha mkuu na kusaini mkataba wenye makubaliano ya kuibakisha timu kwenye nafasi 10 za juu mwishino mwa msimu.
Sasa mko nafasi ya 7 na alama zenu 36 sawa na ndugu zenu Mbao FC lakini wako juu yenu kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa. 
Sijui kama mnafuatilia hali ya majirani zenu kutoka Musoma, Biashara united. Kama hamjui, niwape taarifa tu kwamba hali yao si nzuri. Licha ya kuwa juu yenu wakati wa kupanda ligi kuu, sasa hivi wanahangaika kujinasua kutoka kwenye msatri mwekundu wa kushuka daraja. Nawagusia tu maana huu ndio ujirani mwema. Urefu wa kutoka kwenu Ilemela mpaka kwao Musoma ni sawa na ule wa pua na mdomo.
Wachezaji wenu wamezidi kuonesha ukomavu zaidi kwenye ligi. Kitendo cha Dickson Ambundo kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Januari huku akiwa miongoni mwa wanaoongoza kwa kufumania nyavu, hudhihirisha kwamba Alliance imekuwa.
Sitaki barua yangu iwachoshe kabla sijawaambia lengo langu kubwa la kuamua kutumia vidole vyangu kubofya vibonyezeo vya simu yangu janja kufikisha ujumbe huu kwenu.
Hongereni kwa kuwa miongoni mwa timu zilizoingia kwenye hatua ya 8 bora ya kombe la shirikisho la TFF (ASFC). Bingwa wa kombe hili ndiye huiwakilisha nchi kimataifa katika kombe la shirikisho la CAF.
Kwa hali hiyo, nichukue fursa hii kuwashauri mtumie nguvu nyingi sana huku kuliko hata kwenye ligi kuu. Mko kwenye robo fainali sasa. Mkishinda mechi tatu zilizobaki, mnachukua ubingwa.
Hili ni jambo la msingi zaidi. Najua hamwezi kuchukua ubingwa wa TPL wala kushuka daraja lakini mnaweza kuchukua ASFC. Kwenye ligi mmebakisha mechi 10 ambazo hata mkishinda zote, hamchukui ubingwa. Lakini hapa mkishinda mechi 3 zilizobaki, mwakani mnapanda ndege kwenda Alexandria, Johannesburg, Ouagadougou na kwingineko barani Afrika.
Au mnaogopa kuchukua ubingwa kisa mtakutana na akina Wydad Casablanca, El Hilal  na Asante Kotoko? Hapana. Sidhani kama mnaogopa. Hamjawahi wala hamna mpango wa kuogopa mechi kubwa.
Ni shauku ya Watanzania kuona timu mpya zikishiriki michuano ya kimataifa kama walivyofanya Mtibwa mwaka jana.
Wapo watakaowabeza kwamba nyie ni timu ndogo, lakini wakiwaambia hivyo, muwakumbushe kwa kuwauliza swali la tashtiti kwamba je, ni mara ngapi timu za Kariakoo mnazoziita "timu kubwa" zimeshiriki michuano hii bila mafanikio? Msitake majibu kutoka kwao. Msibishane nao mitandaoni bali dakika 90 zitoe majibu ya kuwatahayarisha.
Kama ambavyo shule zenu pale Mahina Mwanza zinavyopambana kuingia kwenye shule 10 bora kitaifa, vivyo hivyo na nyie mpambane kushiriki soka la kimataifa. Pesa mnazo, uwezo mnao na kila sababu ya kuwa wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Afrika. Amueni sasa kufanya hivyo. Kila la heri Alliance  Schools Football Club.
(Frederick Daudi ni mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwenye Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC). Anapatikana kwa namba 0742164329 na e-mail defederico131@gmail.com).


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2GMH6KN best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ALLIANCE WANATAKIWA KUHAMISHIA MAFANIKIO YAO YA DARASANI KATIKA SOKA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/02/alliance-wanatakiwa-kuhamishia.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 02.05
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
Copyright Viral Sports: ALLIANCE WANATAKIWA KUHAMISHIA MAFANIKIO YAO YA DARASANI KATIKA SOKA