Mats Hummels akimwagia pombe mchezaji mwenzake wa Bayern Munich, Arjen Robben kushangilia ushindi wa taji la saba mfululizo la Bundesliga baada ya ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Eintracht Frankfurt usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Mabao ya Bayern Munich yalifungwa na Kingsley Coman dakika ya nne, David Alaba dakika ya 53, Renato Sanches dakika ya 58, Franck Ribery dakika ya 72 na Arjen Robben dakika ya 78, wakati bao pekee la Eintracht Frankfurt limefungwa na Sebastien Haller dakika ya 50.
Kwa ushindi huo, Bayern Munich inamaliza Bundesliga na pointi 78, mbili zaidi ya Borussia Dortmund ambao jana wamemaliza na ushindi wa 2-0 ugenini dhidi ya Borussia Monchengladbach. Robben na Ribery wanaondoka Bayern na jana wameaga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2JN6QHK
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang BAYERN MUNICH YATWAA TAJI LA SABA MFULULIZO LA BUNDESLIGA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/05/bayern-munich-yatwaa-taji-la-saba.html. Terimakasih atas perhatiannya.