• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ▼  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ▼  Mei (360)
      • NI LIVERPOOL AU TOTTENHAM KUBEBA TAJI LA LIGI YA M...
      • NI ESPERANCE TENA MABINGWA WA AFRIKA, WAIPIGA WYDA...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Saturday 1 June 2019
      • Boxer: Win a Bakkie Promotion
      • Kenilworth Best Bets Saturday 1 June 2019
      • Flamingo Park Best Bets Monday 3 June 2019
      • Turffontein Best Bets Sunday 2 June 2019
      • Greyville Best Bets Saturday 1 June 2019
      • ICC Cricket World Cup: South Africa v Bangladesh P...
      • MAREFA WATANO KUCHEZESHA FAINALI ASFC AZAM FC NA L...
      • WTA Tour: French Open | Selected Round of 32 Matches
      • ATP Tour: French Open | Selected Round of 32 Matches
      • Fairview Best Bets Friday 31 May 2019
      • SPAR Write Your Own Cheque Terms and Conditions
      • JOSHUA NA RUIZ SHUGHULI NI JUMAMOSI MADISON SQUARE...
      • BRAZIL HATARINI KUMKOSA NEYMAR MECHI NA BOLIVIA CO...
      • KAGERE AWA MCHEZAJI BORA WA MWAKA SIMBA SC, OKWI A...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Friday 31 May 2019
      • Super Rugby: Lions v Stormers Preview
      • ADI YUSSUF AWA MCHEZAJI WA KWANZA KUSAJILIWA BLACK...
      • Top 14 Promotion Play-Off: Brive v Grenoble Preview
      • What We Learned from Super Rugby Week 16 and the P...
      • International Rugby: England XV v Barbarians Preview
      • Top 14: Racing 92 v La Rochelle Preview
      • Opinion: Test cricket's big moment looms
      • Vaal Best Bets Thursday 30 May 2019
      • Gallagher Premiership Final 2019 | Exeter Chiefs v...
      • Super Rugby: Round 16 Friday Preview
      • French Top 14: Lyon v Montpellier Preview
      • HSBC Sevens: Paris Preview
      • `Super Rugby: Round 16 Saturday Preview
      • New Betgames Max Payout Limit - R50 000
      • CHELSEA YAIFUMUA ARSENAL 4-1 NA KUTWAA 'NDOO' YA E...
      • RAIS WA FIFA, INFANTINO AIPONGEZA SIMBA SC KWA KUT...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Thursday 30 May 2019
      • MTIBWA SUGAR 0-0 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • YANGA SC 0-2 AZAM FC (LIGI KUU TZ BARA)
      • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHI...
      • FAINALI YA UEFA EUROPA LEAGUE LIVE KWENYE STARTIME...
      • KAGERA SUGAR KUMENYANA NA PAMBA, MWADUI FC NA GEIT...
      • PGA Tour: The Memorial Tournament Preview
      • ANTHONY JOSHUA AFANYA MAZOEZI YA WAZI MAREKANI KAB...
      • European Tour: Belgian Knockout Preview
      • ATP Tour: French Open | Selected Round of 64 Matches
      • CHELSEA HATARINI KUMKOSA KANTE LEO MECHI NA ARSENA...
      • WTA Tour: French Open | Selected Round of 64 Matches
      • COSAFA Cup Quarterfnal: South Africa v Botswana Pr...
      • UEFA Champions League Final: Tottenham Hotspur v L...
      • UEFA Nations League: Semifinal Preview
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Wednesday 29 May 2019
      • SIMBA SC WAKABIDHIWA KOMBE BAADA YA DROO NA MTIBWA...
      • AZAM FC YAMALIZA LIGI KUU KWA USHINDI, YAICHAPA YA...
      • STAND UNITED ‘CHAMA LA WANA’ YASHUKA DARAJA, KAGER...
      • ICC Cricket World Cup: England v South Africa Preview
      • ICC Cricket World Cup: Week One Preview
      • CHEKI AMBAVYO RONALDO NI MTU MBAYA DUNIA NZIMA HAK...
      • WENGER ALIVYOMKOKOTA KAMA BEHEWA ZIDANE MECHI YA H...
      • VILLA WAIPIGA DERBY 2-1 NA KUREJEA LIGI KUU ENGLAND
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Tuesday 28 May 2019
      • Durbanville Tuesday 28 May 2019 Best Bets
      • Europa League Final: Chelsea vs Arsenal Preview
      • All Smiles with the Proteas! | ICC Cricket World C...
      • Amla believes fasting improves his game
      • Rabada ready to 'rock up' in World Cup opener
      • Fiji Defend London Sevens Title
      • Stalk the Proteas at the 2019 Cricket World Cup
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA BAKARI MALIMA 'JEM...
      • ZAMALEK WATWAA TAJI LA KWANZA AFRIKA TANGU WAVULIW...
      • TP MAZEMBE WAAMUA KUACHANA NA AJIBU NA SASA ANAREJ...
      • Vaal Best Bets Monday 27 May 2019
      • AUSSEMS ASAINI MKATABA MPYA KUENDELEA KUFUNDISHA S...
      • WINGA WA AMAVUBI, SIBOMANA ALIYECHEZA HADI ULAYA A...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA AMANI SIMBA, KIPA ...
      • ALLY MOPELO, GODFREY KUKIMBIZI NA DOYI MOKE MAJIMA...
      • Turffontein Best Bets Sunday 26 May 2019
      • BAYERN MUNICH WABEBA NA KOMBE LA UJERUMANI, WAIPIG...
      • MESSI AKIWA HAAMINI MACHO YAKE USIKU WA JANA BENIT...
      • VALENCIA WATWAA KOMBE LA MFALME BAADA YA KUIPIGA B...
      • Neil Morrice: UK and Irish Racing Tips - Sunday 26...
      • SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA BIASHARA UNIT...
      • JE, NI BARCELONA AU VALENCIA BINGWA WA COPA DEL RE...
      • Neil Morrice: UK and Irish Racing Tips - Saturday ...
      • YES! promotion - Terms and Conditions
      • Kazang & Hollywoodbets Promotion: Win a Shopping V...
      • Kingsmead to host England in two fixtures this summer
      • 2019 COSAFA Cup Day 1 Preview
      • Win Your Share of R50 000 in Cash by Attending the...
      • COSAFA Cup 2019 Predictor Game: Terms and Conditions
      • French Top 14: Round 26 Preview
      • Blu Approved and Hollywoodbets Promotion: Win 1 of...
      • English Premiership: Exeter v Northampton Preview
      • English Premiership: Saracens v Gloucester Preview
      • Fairview Best Bets Friday 24 May 2019
      • N'GOLO KANTE YUKO FITI KUWAVAA ARSENAL FAINALI EUR...
      • SEVILLA YATOKA NYUMA NA KUIPIGA SIMBA SC 5-4 UWANJ...
      • Phaka Predictions - Super Rugby 2019 - Round 15
      • GEITA GOLD, PAMBA SC ZAFUZU ‘PLAY-OFF’ KUPANDA LIG...
      • COASTAL UNION, ALLIANCE FC ZATUMIA VYEMA VIWANJA V...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Friday 24 May 2019
      • A Feast of Racing and Sport
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » ZAMALEK WATWAA TAJI LA KWANZA AFRIKA TANGU WAVULIWE UBINGWA NA SIMBA 2003

ZAMALEK WATWAA TAJI LA KWANZA AFRIKA TANGU WAVULIWE UBINGWA NA SIMBA 2003

TIMU ya Zamalek ya Misiri imefanikiwa kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa penalti 5-3 kufuatia sare ya jumla ya 1-1 dhidi ya Renaissance Sportive Berkane, maarufu kama RSB Berkane usiku wa jana Uwanja wa Borg El Arab mjini Alexandria,
Bao pekee la penalti la beki Mmisri, Mahmoud Alaa Eldin dakika ya 55 liliipa Zamalek ushindi wa 1-0 ndani ya dakika 120 za mchezo wa jana Misri.
Na kufuatia RSB Berkane kushinda 1-0 pia, bao pekee la mshambuliaji Mtogo, Fo-Doh Kodjo Laba dakika ya 90 na ushei akimalizia pasi ya Hamdi Laachir liliipa RSB Berkane Uwanja wa Manispaaa ya Berkane Mei 20 mchezo ukahamia kwenye mikwaju ya penalti.

Zamalek ilipata penalti zake zote kupitia kwa nyota wake, Mmorocco mzaliwa wa Ufaransa, Khalid Boutaib, Mahmoud Alaa, Abdallah Gomaa, Youssef Obama na Ahmed Sayed ‘Zizo’. 
Lakini  Hamdi Laachir akakosa penlati ya kwanza ya Berkane, wakati Ismail Mokadem, Mtoto Fo-Doh Kodjo Laba na Mburkina Faso, Issoufou Dayo walifunga.
Jana ilikuwa mara ya nne katika fainali 16, mikwaju ya penalti inaamua mshindi wa taji hilo, timu nyingine zilizowahi kutwaa Kombe hilo kwa matuta ni Hearts of Oak ya Ghana, Stade Malien ya Mali na MAS Fes ya Morocco.
Ushindi huo unamaliza ukame wa mataji ya Afrika wa miaka 16 kwa Zamalek mara ya mwisho wakishinda mwaka 2003 taji la Ligi ya Mabingwa ambalo walivuliwa na Simba SC ya Tanzania.
Wapinzani wao wa Jiji la Cairo, Al Ahly wanaongoza kwa kutwaa mataji mengi Afrika, 19 wakifuatiwa na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mataji 11.
Kwa ushindi huo, Zamalek watapatiwa dola za Kimarekani Milioni 1.25, huku Berkane wakiambulia dola 625,000. 
'The White Knights' sasa watamjua mpinzani wao kwenye kuwania taji la Super Cup ya CAF 2019 wiki ijayo wakati Esperance ya Tunisia itakapomenyana na Wydad Athletic ya Morocco kufuatia kutoa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza mjini Rabat.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2MbpkVc best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ZAMALEK WATWAA TAJI LA KWANZA AFRIKA TANGU WAVULIWE UBINGWA NA SIMBA 2003. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/05/zamalek-watwaa-taji-la-kwanza-afrika.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 02.38
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
Copyright Viral Sports: ZAMALEK WATWAA TAJI LA KWANZA AFRIKA TANGU WAVULIWE UBINGWA NA SIMBA 2003