Kipa wa Chelsea, Kepa Arrizabalaga akiokoa penalti ya Goncalo Paciencia kabla ya Edin Hazard kuifungia The Blues penalti ya mwisho Uwanja wa Stamford Bridge mjini London na kutinga fainali ya UEFA Europa League kwa ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya jumla ya 2-2 ndani ya dakika zaidi ya 210 kwenye mechi mbili kali za nyumbani na ugenini. Chelsea ilitangulia kwa bao la Ruben Loftus-Cheek dakika ya 28, kabla ya Luka Jovic kuisawazishia Eintracht-Frankfurt dakika ya 49.
Waliofunga penalti za Chelsea ni Ross Barkley, Jorginho, David Luiz na Hazard wakati Cesar Azpilicueta alikosa na za Eintracht-Frankfurt zimefungwa na Sébastien Haller, Jovic na Jonathan de Guzmán huku Martin Hinteregger na Gonçalo Paciência wakikosa. Fainali itawakutanisha Arsenal na Chelsea Uwanja wa Bakı Olimpiya mjin Baku, Azerbaijani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2YjsXcU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KEPA AIPELEKA CHELSEA FAINALI YA UEFA EUROPA LEAGUE. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/05/kepa-aipeleka-chelsea-fainali-ya-uefa.html. Terimakasih atas perhatiannya.