Kiungo Mfaransa wa Manchester United, Paul Pogba akiruka juu kupiga mpira dhidi ya beki Mjerumani wa Huddersfield, Erik Durm katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa John Smith leo timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Man United ilitangulia kwa bao la Scott McTominay dakika ya nane kabla ya Isaac Mbenza kuisawazishia Huddersfield dakika ya 60.
Kwa sare hiyo, Manchester United inafikisha pointi 66 baada ya kucheza mechi 37, ikibaki nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu England na kupoteza kabisa matumaini ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao, sasa ikipigania tiketi ya Europa League PICHA ZAIDIU GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2Jh1TGU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms