Lucas Moura akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao yote matatu dakika za 55, 59 na 90 na ushei ikiwachapa wenyeji, Ajax 3-2 usiku huu Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao ya Ajax yalifungwa na Nahodha wake, Matthijs de Ligt dakika ya tano na Hakim Ziyech dakika ya 35 na Tottenham inasonga mbele kwa faida ya mabao ya ugenini baada ya sare ya jumla ya 3-3 kufuatia kufungwa 1-0 wiki iliyopira London.
Sasa Spurs itamenyana na Liverpool katika fainali ya timu za England tupu Juni 1, mwaka huu Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, Hispania Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2V6mTCx
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms