Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Yanga SC imemsajili kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Balinya Juma kutoka Polisi FC ya kwao.
Mchezaji huyo aliyeibuka mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Uganda msimu uliopita akifunga mabao 17 ametambulishwa Jumamosi katika tamasha la Kubwa Kuliko lilifanyika ukumbi wa Diamond Jubilee mjini Dar es Salaam.
Baada ya kufanya vizuri msimu uliopita, Balinya aliitwa kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha kwanza cha timu ya taifa ya Uganda Machi mwaka huu, lakini hakubahatika kuteuliwa kwenye kikosi kilichokwenda kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) nchini Misri.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Balinya Juma ametua Yanga kutoka Polisi FC ya kwao
Sambamba na mchezaji huyo ambaye imeripotiwa mahaismu wao, SImba SC pia walikuwa kwenye harakati za kumsajili, Yanga pia imemtambulisha rasmi leo kiungo wa ulinzi, Abdulaziz Makame kutoka Mafunzo ya Zanzibar.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2IhYtCJ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms