Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Yanga SC imefanikiwa kumsajili beki wa kushoto, Muharami Salum Issa ‘Marcelo’ kutoka klabu ya Malindi ya kwao, Zanzibar.
Lakini Yanga imelazimika kufanya mazungumzo ya kiungwana na wapinzani wao wa Tanzania Bara, SIngida United ili wawaachie mchezaji huyo ambaye tayari alikuwa amekwishamalizana na klabu hiyo na kutangazwa.
Ni kama ilivyokuwa kwa kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ msimu uliopita ambaye naye alianza kusajiliwa na Singida United kutoka JKU ya Zanzibar, lakini akahamia Yanga SC.
Na hiyo ni kwa sababu Rais wa klabu ya Singida United, Dk Mwigulu Nchemba (Mbunge) ni mwanachama na mpenzi mkubwa wa klabu ya Yanga.
Muharami Issa ‘Marcelo’ ameachana na Singida United na kujiunga na Yanga SC
Marcelo anasajiliwa kuziba pengo la Gardiel Michael Mbaga aliyegoma kusaini mkataba mpya na taarifa zinasema kwamba anajiunga na Bidvest Wits ya Afrika Kusini, huku watani wa jadi, Simba SC ya Dar es Salaam wakimuwania.
Marcelo anakuwa mchezaji mpya 11 kusajiliwa na Yanga SC na wa nne tu mzawa, baada ya beki Ally Ally kutoka KMC ya Kinondoni, viungo wa ulinzi, Abdulaziz Makame kutoka Mafunzo ya Zanzibar na Mapinduzi Balama kutoka Alliance FC ya Mwanza,
Wengine saba wote wa kigeni ambao ni Sadney Urikhob kutoka Namibia, Lamine Moro kutoka Ghana, Juma Balinya kutoka Uganda, Issa Bigirimana, Patrick Sibomana wote wa Rwanda, Mustapha Seleman kutoka Burundi na Maybin Kalengo kutoka Zambia.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2YA5Uet
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms