Na Asha Said, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amesema mfumo wa uwekezaji katika klabu za Tanzania ni Hisa asilimia 49 kwa wawekezaji na hisa Asilimia 51 kwa wanachama.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mjini Dar es Salaam leo, Waziri Mwakyembe amesema kwamba ikiwa Asilimia 49 za wawekezaji lazima kuwa na wawekezaji kuanzia watatu.
Waziri Mwakyembe amesema kwamba hairuhusiwi kwa mwekezaji mmoja pekee kuhodhi asilimia 49 za hisa za klabu.
Waziri amesema wakati mchakato ulipoanza aliwaambia TFF wasimamie hilo lakini hawakufanya hivyo kwa sababu Uwekezaji wa klabu ya Simba hisa asilimia 49 zinamilikiwa na Mohammed ‘Mo’ Dewji.
Amesema sasa Serikali imeanza mchakato wa kurekebisha kanuni za uwekezaji kwenye klabu za Tanzania na ameongeza kwa sasa mchakato huo utasimamiwa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na si Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) tena.
Amesema itaundwa Kamati ndogo ya kushugulikia mchakato huo upya ikiwa na Mjumbe kutoka BMT, TFF, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Soko la Mitaji, Wadau na Mkurungezi wa Michezo.
Wakati Mwakyembe akizungumzia hilo, aliyewahi kuwa mdhamini wa klabu hiyo Hamisi Kilomoni, kesho atazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu msimamo wake baada ya kauli ya Waziri huyo mwenye dhamana ya michezo hapa nchini.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2Md4wuK
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms