• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ▼  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ▼  Juli (364)
      • HEVRE RENARD AWATEMA MOROCCO, KOCHA MPYA WA SAUDI ...
      • BOATENG ASAINI MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA FIORENTINA
      • UK Racing Best Bets - Thursday 1st August 2019
      • Glorious Goodwood 2019 - Day 3 Preview
      • Vaal Best Bets Thursday 1 August 2019
      • Opinion: Can Mzansi Super League be Economically V...
      • Rugby World Cup: Early Match Betting
      • Pacific Nations Cup: Samoa v United States Preview
      • Crossbar Challenge: Win Your Share of R50 000!
      • PGA Tour: The Wyndham Championship
      • MSHAMBULIAJI MKONGO AWASILI DAR ES SALAAM KUKAMILI...
      • Community Shield: Liverpool v Manchester City Preview
      • COSAFA Women’s Cup Group Stage Draw & Team Guide
      • COSAFA Women's Championship 2019 Fixtures
      • HAZARD AKIWA KAZINI KWA MWAJIRI MPYA, REAL KOMBE L...
      • SPURS YAIFUNGA MADRID, MAN UNITED YAICHAPA TIMU YA...
      • IKIMKOSA MAGUIRE MANCHESTER UNITED INAMLETA UMTITI
      • HIMID MAO AJIUNGA NA ENPPI BAADA YA PETROJETI KUSH...
      • Pacific Nations Cup: Fiji v Canada Preview
      • UK Racing Best Bets - Wednesday 31st July 2019
      • CHAMA AFUNGA SIMBA SC YALAZIMISHA SARE YA 1-1 NA O...
      • Pacific Nations Cup: Japan v Tonga Preview
      • Currie Cup 2019: Round 4 Preview
      • F1 2019: Hungarian Grand Prix Preview
      • South Africa's Inside Centre Dilemma
      • Glorious Goodwood 2019 - Day 2 - Qatar Sussex Stakes
      • Rugby World Cup News: Monday 29 July
      • PRO 14: 2019/20 Season Preview
      • IDRISSA GUEYE RASMI NI MCHEZAJI MPYA WA PSG
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA SHAABAN KATWILA
      • YANGA SC YAENDELEZA UBABE MECHI ZA KUJIPIMA NGUVU ...
      • AJIBU AUMIA GOTI, HATARINI KUKOSEKANA MECHI YA MAR...
      • UK Racing Tips - Tuesday 31st July 2019
      • GARETH BALE ACHOMOLEWA KIKOSINI REAL MADRID
      • JUVENTUS YASEMA TIMU NYINGI ZINAMTAKA DYBALA
      • MAGUIRE HAJAONEKANA MAZOEZINI LEICESTER, MANCHESTE...
      • COSAFA Women's Championship: Predict & Win
      • Cameron Bancroft Racelled for the Ashes Series
      • Ashes First Test: England vs Australia Preview
      • Glorious Goodwood 2019 - Day 1 Preview - Goodwood Cup
      • Retallick suffers dislocated shoulder
      • What We Learned | Rugby Championship Round 2
      • CAF YATEUA NAREFA WANNE WA TANZANIA KUCHEZESHA MIC...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA MIKE CHUMA
      • Glorious Goodwood 2019
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA ALLY MALILO 'LOKETO'
      • Arsenalclosing in on Pepe dealC
      • YANGA SC YAENDELEZA UBABE MECHI ZA KUJIPIMA NGUVU ...
      • Lucky Numbers Promotion: Irish Daily Millions Even...
      • Liverpool Sign 16 Year Old from Fulham
      • Sterling Relishing Move Abroad
      • Gareth Bale's £1.1m-a-week China Move Blocked
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Monday 29 July 2019
      • Fairview Best Bets Monday 29 July 2019
      • UWEKEZAJI KATIKA KLABU TANZANIA UMEGUBIKWA NA SINT...
      • TAIFA STARS YAJIWEKA PAGUMU KUFUZU CHAN 2020 BAADA...
      • Turffontein Best Bets Sunday 28 July 2019
      • COSTA AFUNGA MABAO MANNE ATLETICO YAICHAPA REAL MA...
      • KAGERE AFUNGA SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA...
      • RESULT - eLan Gold Cup 2019
      • SAMATTA AISAIDIA GENK KUANZA VYEMA KUTETEA TAJI LA...
      • UK Racing Tips - Saturday 27th July 2019
      • Hollywoodbets sponsors COSAFA Women’s Championship...
      • KIINGILIO CHA CHINI TAIFA STARS NA HARAMBEE JUMAPI...
      • Pacific Nations Championship: Tonga v Samoa Preview
      • Pacific Nations Cup: Japan v Fiji Preview
      • COSAFA Women's Championship - Promo Terms and Cond...
      • Hollywoodbets Greyville Best Bets Saturday 27 July...
      • eLan Gold Cup Day 2019 - Best Bets by Winning Form
      • Fairview Best Bets Friday 26 July 2019
      • Phaka Predictions - Rugby Championship R2 - Currie...
      • WATCH: Arsenal Player Fights off Hijackers
      • Best PSL Transfers So Far | 2019/20 Season
      • Neil Morrice brings us all of his best bets and t...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Thursday 25 July 2019
      • NI MAN UNITED DHIDI YA TOTTENHAM HOTSPURS LEO MECH...
      • SERIKALI YANZUIA MO DEWJI KUMILIKI ASILIMIA 49 ZA ...
      • New USA Lucky Numbers Lotto Draws - July 2019
      • Vaal Best Bets Thursday 25 July 2019
      • YANGA SC SASA KUMENYANA NA KARIOBANGI SHARKS KATIK...
      • Rugby Championship Round 2: New Zealand v South Af...
      • PGA Tour: WGC FedEx St Jude Classic Preview
      • REAL MADRID YAICHAPA ARSENAL KWA MATUTA BAADA YA S...
      • SIMBA SC YAENDELEZA UMWAMBA ‘SAUZI’, YAIPIGA PLATI...
      • Carling Black Label Cup: Kaizer Chiefs v Orlando P...
      • 2019 KZN Premiers Cup Preview
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Wednesday 24 July 2019
      • YANGA WAWE MAKINI, WASIKUBALI KUZUNGUKWA NA WANAOZ...
      • MWAMBUSI ATAKA MECHI MBILI ZA KUJIPIMA MBEYA CITY ...
      • MTIBWA SUGAR YAMREJESHA SAID MOHAMMED NDUDA NA KUS...
      • Scottsville Wednesday 24 July 2019 Best Bets
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA ALLY MALILO 'LOKETO'
      • SIMBA DAY SASA NI AGOSTI 6 TAIFA, WATACHEZA NA POW...
      • F1 2019: German Grand Prix Preview
      • Rugby World Cup 2019: Best World Cup Springbok XV
      • Currie Cup: Western Province vs Golden Lions Round...
      • SIMBA SC YAANZA VYEMA MECHI ZA KIRAFIKI AFRIKA KUS...
      • Opinion: Have the ICC been too harsh on Zimbabwe?
      • YANGA SC YASHINDA 7-0 MECHI ZA KUJIANDAA NA MSIMU ...
      • 20 Rugby World Cup Moments
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » UWEKEZAJI KATIKA KLABU TANZANIA UMEGUBIKWA NA SINTOFAHAMU

UWEKEZAJI KATIKA KLABU TANZANIA UMEGUBIKWA NA SINTOFAHAMU

Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM
WASWAHILI wanamisemo sana na nimepata bahati ya kusikia misemo mingi mno baada ya kuingia na kuishi ukanda huu wa Pwani kule kwetu shinyanga hakuna sana misemo hii zaidi ya kukigonga kisukuma kwenda mbele.
Moja ya misemo ambayo nimekutana nayo hapa mjini ingawa sikuja na gari la mkaa ni ule msemo wa SHAMBA LA BIBI ni msemo ambao sikuelewa lakini nilipo wauliza waungwana walio kulia pwani waliniambia kuwa huu msemo una maana kuwa shamba la bibi linakuwa huru kwa maneno mengine ni ruksa kuvuna chochote kwa kadri uwezavyo na hakuna mwenye uchungu nalo na ukiwa mjanja kuliko wengine ndio mahali unapoweza kupigia na kutoka kimaisha kwa misemo ya kimjini.Duuuh kumbe ndio hivi!
Tuachane na hilo la shamba la bibi turudi kwenye mada yetu kuhusu uwekezaji katika soka letu na bila ubishi huwezi zungumzia soka la Tanzania bila kuhusisha vilabu viwili vikongwe hapa nchini YANGA SC na SIMBA SC ni kongwe kwani ndiyo timu za mwanzo kabisa kuanzishwa moja ikianza mwaka 1935 na nyingine 1936 na  ndizo zenye wapenzi na mashabiki wengi  katika nchini yetu na hata nchi za jirani hivyo nitajikita kuelezea nikilinganisha na timu hizi mbili.
Ukirudi kwa historia kidogo hizi timu zilianza hata kabla Taifa letu la Tanzania halijapata kuwa huru na naweza kusema kuwa moja ya msukumo wa kuanzisha hivi vilabu ilikuwa ni kuwaunganisha watanganyika kipindi hicho kwa lengo la kupata nafasi ya kujadili mambo mbalimbali yanayohusiana na ukombozi wa Taifa hili ndio mana sishangai kuona Mzee Karume akitajwa kuwa sehemu muhimu ya upatikanaji wa majengo ya klabu mbili hizi kwa maana ya jengo la Jangwani kwa upande wa Yanga SC na lile la Msimbazi kwa upande wa Simba SC kwani ukaribu wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume ulichochea haya na baada kuja kuzaa Tanzania ambayo ni muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar.
Ni zaidi ya miaka 80 sasa timu hizi kubwa zipo vilevile zaidi kinachoongezeka ni idadi ya mashabiki tu na ule utani wa jadi lakini kwenye mali nyingine za klabu mambo ni yaleyale.
Uko nyuma kidogo walijitokeza watu ambao tuliwahita wafadhili watu hawa walika maarufu sana sana walisajili wachezaji walitoa posho,mishahara na kununua jezi,kanga,vitambaa na vitu vidogovidogo vya hamasa na watu walifurahi sana na kama walifanya chochote kwenye yale majengo mawili basi itakua walipaka rangi yale majengo na baada ya hapo walivuna umaarufu na pesa kibao kupitia timu hizi na kisha wakaenda zao na kuziacha hizi timu palepale yani ni sawa unakaa na ndugu ambaye hataki kukutafutia kazi ila anakuhudumia wewe,watoto wako na mke wako kwa kila mkitakacho ila hayupo tayari wewe upate kazi au ufungue biashara yako,kama upo vizuri kichwani lazima ujihoji kwa hili.
Ilifika hatua walijenga hofu kwa watu hasa wadau wa michezo na kuamini kuwa hizi timu haziwezi kufanya lolote bila watu wale wajanja na kila walipotokea watu wachache kuhoji chochote kuhusu muenendo wowote juu ya wafadhili hawa kundi kubwa la watu ambao ni sawa na wale wanatengemea msaada wa ndugu yule msaidiaji walikuja juu na kutoa matamko mazito na kuwaita watu wale wasaliti na mamluki ambao wametumwa kuwafitinisha na mfadhili wao jambo ambalo lilifanya vilabu hivi kubaki palepale hata leo tunasimama hapa havina lolote la kujivunia zaidi ya yale maono ya mwanzo na bahati vilijengwa eneo ambalo mji ndio umeshamili vingejengwa uko vikindu aisee saivi yangekua magofu makazi ya popo.
Wimbi la wafadhili likaenda na kufikia tamati na walewale wafadhili wajanja wachache wakajigeuza na kuja na wazo la kutaka hizi timu ziwe kampuni swala la kuendeshwa na wanachama halina tija tena na kutaka ziwe kampuni lakini wakati uho wao wamefaidika mara mia zaidi kuliko timu zenyewe na wamekua wakubwa kuliko hizo timu na kunifanya nikumbuke ule ujanja uliokuwa unatumika na baadhi ya wafanya biasha hapa nchini kwa kubadilisha majina ya hotel kubwa flani na kujifanya wawekezaji wapya.
Mabadiliko hayo yalileta mvurugano na hata wale waliokubali hawakujua kwanini wanakubali na hata waliokataa nao hawakujua kwanini wanakataa aliyejua maana alibaki kuwa ni yule mwenye agenda yake tu.
Mambo yakaenda vurugu zikashamiri na hatimaye upepo ukabadilika na kuamia kwenye uwekezaji ambapo sasa ni habari ya mjini na kila upande umekuwa ukihaha kuhakikisha unaingia uko kwenye uwekezaji ingawa bado hofu yangu walewale walionza toka ufadhili ndio wapo na agenda zao ni zilezile kwa sura mpya tena ya kitoto na kazi inakua rahisi kwani badala ya kutumia kiswahili unaweka kizungu tena kwenye maandishi na unapata wajanja wachache wajukuu wa  bibi basi kazi inakuwa rahisi.
Kuwekeza si kitu kibaya endapo uwekezaji uho utakuwa na manufaa kwa pande zote na mfumo ulio rasmi kwa soka letu ni ule ambao tumeutoa nchini Ujerumani ambao katika asilimia 100 basi asilimia 51 ubaki kwa wanachama na zile 49 kwenda kwa wawekezaji na sio muwekezaji ikiwa na maana kuwa ni lazima waanzie watu watatu na kuendela ili kuzigawa zile asilimia 49 kulingana na uwezo wao wa kumiliki shea na lengo kuu hasa la huu muundo ni kuzuia uwezekano wa mtu mmoja kua na nguvu ya kimaamuzi kwenye vikao vya bodi ambavyo vitakwenda kuamua mambo mbalimbali ya klabu husika kufanya kuwe na mlingano wa hoja na kulinda maslahi ya klabu husika.
Ni mfumo ambao umekuwa ukitumika vema nchini ujerumani na vilabu kama bayani munichi vimefanikiwa kuwa vilabu tajiri ulaya na duniani kote kutokana na mfumo huu.
Kwa mtazomo wangu ni kuwa tunapoamua kufanya uwekezaji basi tufanye kweli milango iwe wazi na sio kuja kwenye mfumo huu tayari tunajina letu mfukoni makundi yanatoka wapi?kwanini tunabisha?malumbano yanakujaje?kwani huyo asemwe na wengine wakingie kifua?hawa wanao sema na wanaopinga nani yupo sahahi? wote nyie si wajukuu wa bibi?tatizo nini?
Ukijiuliza maswali hayo utagundua kitu kuwa bado hatuko na dhamira ya dhati kuzikomboa klabu hizi bado kuna ujanja wa wajukuu wachache pengine wao kidogo walitoa ujinga kwa kupata shule na kutaka kutumia shule zao kuumiza wengine.uwazi mbona haupo?mbona hoja ngumu ujibiwa kwa majibu mepesi?hivi viburi na dharau vinatoka wapi ni hili hili shamba la bibi?
Ifike mahali nyie wajanja wachache msitutoe akili dunia imebadilika sana hata sisi wa uku shamba tumepata elimu kidogo tunauelewa jamani wa haya mambo msifunike funike mambo kama kweli mnalenga au mnamaanisha  uwekezaji   kwa manufaa ya timu zetu basi kuweni wazi wadau wanatamani kuona vilabu hivi vinakua sio kwa idadi ya mashabiki tu hapana hata hali za kiuchumi ziboreke pia.
kwa idadi ya mashabiki, wapenzi na wanachama wa vilabu hivi walivyo wengi kukiwa na mipango thabiti na yenye maslahi mapana ya klabu hizi hakuna shaka vitakuwa ni miongoni mwa vilabu tajiri barani Afrika na sio kuwawekea watu hofu na kuamini kuwa bila ya watu fulani vilabu hivi haviwezi kwenda jambo ambalo si kweli kabisa..
Pia tukumbuke kuwa hivi vilabu vipo Dar es salaam lakini vina mashabiki nchi nzima na wanashiriki kwa namna moja au nyingine kuona vilabu vinasonga mbele hivyo ni vema nao kuwashirikisha.
Tunahitaji uwekezaji wenye tija tujenge mazingira rafiki ili hata watu wenye nia njema na maendeleo ya mpira wetu wavutike lakini pia hata vilabu vingine vione mwanga na kujifunza kupitia ninyi.
Tusitumie vibaya uelewa wa kawaida wa walio wengi kupeleka mambo visivyo ili tu kutengeneza mazingira ya maslahi binafsi ila tutengeneze mambo ya maana ili taifa lisonge mbele hasa kupitia soka.
Natamani kuendelea sans ila mambo ni mengi pia kwa leo tuishie hapa.

(Dominick Salamba ni mchambuzi wa michezo, pia anapatikana katika Instagram akaunti kupitia @dominicksalamba au waweza kuwasiliana naye kwa namba +255 713 942 770)


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2ykXQT7 best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang UWEKEZAJI KATIKA KLABU TANZANIA UMEGUBIKWA NA SINTOFAHAMU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/07/uwekezaji-katika-klabu-tanzania.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 10.16
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • Vaal Thursday 29 September 2016 Best Bets
    Winning Form brings you their best tips for Vaal's racing on Thursday 29th of September 2016. Comments, images and betting and are pro...
Copyright Viral Sports: UWEKEZAJI KATIKA KLABU TANZANIA UMEGUBIKWA NA SINTOFAHAMU