Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TIMU ya Dodoma FC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara baada ya ushindi 1-0 dhidi ya Gwambina FC, bao pekee la Anuary Jabir dakika ya 52 leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Fainali hiyo tamu ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) ilihusisha washindi wa makundi mawili katika hatua ya awali Dodoma FC kutoka Kund B dhidi ya Gwambina FC ya Misungwi mkoani Mwanza kutoka Kund B.
Kwa kuongoza tu makundi yao, kwa pamoja timu hizo zilijihakikishia tiketi ya kucheza Ligi Kuu – huku Ihefu FC ya Mbarali mkoani Mbeya na Maji Maji ya Songea mkoani Ruvuma kutoka kundi A na Geita Gold ya Geita na Trans Camp ya Dar es Salaam kutoka kundi B zikifuzu kucheza mechi za mchujo (Play Off) ya kuwania kupanda Ligi Kuu.
Mlale FC, Pan African, Cosmopolitan FC na Iringa United zimeshuka daraja la pili (SDL) kutoka kundi A huku Timu za Boma FC na Friend Rangers zitacheza play off ya kubaki ligi Daraja la kwanza au kushuka Daraja la Pili (SDL) kutoka kundi A
Green Warriors, Sahare All Stars, Stand United na Mawenzi Market FC zote zimeshuka daraja kwenda daraja la Pili (SDL) kutoka kundi B huku Mashujaa na Pamba/Arusha FC zitacheza play off ya kubaki daraja la kwanza au kushuka Daraja la Pili kutoka kundi B.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2ZDSIYN
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms