Na Mwandishi Wetu, MBEYA
TIMU ya Mbeya City jana imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Mabao ya Mbeya City katika mchezo wa jana yalifungwa na Rolland Msonjo dakika ya 36 na Peter Mapunda dakika ya 89, wakati la Polisi Tanzania lilifungwa na Shaaban Stambuli dakika ya 26
Kwa ushindi huo, Mbeya City inayofundishwa na kocha Amri Said ‘Stam’ inafikisha pointi 36 baada ya kucheza mechi 34, ingawa inabaki nafasi ya 18 ikiizidi pointi moja Mbao FC.
Polisi Tanzania yenyewe inabaki na pointi zake 48 za mechi 34 katika nafasi ya sita, ikizidiwa pointi tatu na Coastal Union ya Tanga inayoshika nafasi ya tano.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/32iV6WT
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms