GWIJI wa ndondi, Mike Tyson anaamini Mmarekani mwenzake, Deontay Wilder ana nafasi ya kushinda dhidi ya Tyson Fury iwapo watarudiana tena.
Pambano la kwanza la Wilder na Fury lilimalizika kwa droo kabla ya wawili hao kupigana tena Las Vegas Februari ambako Muingereza akashinda na kutwaa taji la WBC uzito wa juu.
Pambano lao la tatu linatarajiwa kufanyika Desemba na alipoulizwa na rapa Fat Joe kwenye Instagram kama Wilder anaweza kushinda pambano lijalo, Tyson alisema: "Wakati wowote kuna nafasi. Kila mmoja wakati wote ana nafas. Itategemea na kiasi gani atajitoa,".
Mike Tyson anaamini Deontay Wilder ana nafasi ya kulipa kisasi kwa Tyson Fury wakirudiana tena PICHA ZAIDI GONGA HAPA
"Ikiwa atataka kuyatoa maisha yake kwa ajili ya kushinda haswa pambano hili, chochote kinaweza kutokea,".
Pambano la tatu la Fury na Wilder linaweza kufanyika Uwanja mpya wa Allegiant Jijini Las Vegas, ingawa taarifa za mwisho hazijatolewa japo imependekezwa lifanyike Desemba 19.
Uwanja huo wa NFL uliogharmu dola za Kimarekani Bilioni 1.45 ujenzi wake, unaingiza watazamaji 65,000 lakini wataruhusiwa kuingia watu 20,000 tu kutokana na janga la maambukizi ya virusi vya corona.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3dX7rSE
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MIKE TYSON ANAAMINI WILDER ANAWEZA KULIPA KISASI KWA FURY. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/07/mike-tyson-anaamini-wilder-anaweza.html. Terimakasih atas perhatiannya.