Na Mwandishi Wetu, LIVERPOOL
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ametokea benchi bado dakika 16 leo timu yake, Aston Villa ikichapwa 2-0 na Liverpool Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
Samatta aliingia uwanjani dakika ya 74 kuchukua nafasi ya mshambuliaji wa England, Keinan Davis wakati huo tayari Liverpool inaongoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Msenegal, Sadio Mane dakika ya 71.
Na akiwa uwanjani, Samatta aliyejunga na Aston Villa Januari akitokea KRC Genk ya Ubelgiji, timu yake ya kwanza Ulaya aliyojiunga nayo mwaka 2016 akashuhudia Liverpool wakipata bao la pili lililofungwa na kinda Curtis Jones dakika ya 89.
Liverpool ambao tayari ni mabingwa, kwa ushindi wa leo wanafikisha pointi 89 baada ya kucheza mechi 33, wakati Aston Villa ya kocha Dean Smith inabaki na pointi zake 27 baada ya kucheza mechi 33 pia – maana yake inaanza kuipungia mkono wa kwaheri Ligi Kuu.
Kikosi cha Liverpool kilikuwa; Alisson, Alexander-Arnold, Gomez, Van Dijk, Robertson, Oxlade-Chamberlain/Wijnaldum dk60, Fabinho/Henderson dk60, Keita, Salah, Origi/Firmino dk60 na Mane.
Aston Villa; Reina, Konsa, Hause, Mings, Taylor, El Ghazi/Jota dk74, McGinn, Luiz, Trezeguet/Vassilev dk84, Grealish na Davis/Samatta dk74.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/38uUkqB
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms