Jamie Vardy akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazsisha Leicester City dakika ya 84 ikitoa sare ya 1-1 na Arsenal iliyotangulia kwa bao la Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 21 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Emirates. Arsenal ilimaliza pungufu baada ya Eddie Nketiah kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 74, dakika nne tu tangu aingie kuchukua nafasi ya Alexandre Lacazette. Leicester inafikisha pointi 59 baada ya sare hiyo katika mchezo wa 34 na sasa inashuka hadi nafasi ya nne ikizidiwa pointi moja na Chelsea, wakati Arsenal inayofikisha pointi 50 baada ya kucheza mechi 34 pia inabaki nafasi ya saba PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3fcCCuz
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms