VIGOGO, Al Ahly wametanguliza mguu mmoja katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Wydad Athletic Club kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya michuano hiyo Uwanja wa Mohamed V Jijini Casablanca, Moroccco usiku wa jana.
Pongezi kwa wafungaji wa mabao hayo, Mohamed Magdi Afsha dakika ya nne na Ali Maaloul dakika ya 62 kwa penalti kwenye mchezo huo wa kwanza wa kimataifa wa mashindano barani tangu janga la COVID-19 miezi sita iliyopita.
Kipigo hicho kinavunja rekodi ya Wydad kutofungwa nyumbani kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya mechi 26.
Na ni hao hao Ahly waliokuwa timu ya mwisho kuifunga Wydad kwenye ardhi yao, Julai mwaka 2016.
Kwa ushindi huo, Pitso Mosimane anaendeleza rekodi yake ya kutofungwa tangu aajiriwe Ahly mwezi uliopita.
Sasa Al Ahly itahitaji kuulinda ushindi huo kwenye mchezo wa marudiano Oktoba 23 Jijini Cairo, Misri ili watinge fainali kwa mara ya 13 katika historia yao.
Nusu Fainali nyingine ya Ligi ya Mabingwa inafuatia leo kwa mchezo kati ya Raja Casablanca na Zamalek kuanzia Saa 4:00 usiku hapo hapo Uwanja wa Mohamed V.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3lXLGqd
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms