Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KOCHA mpya, Mrundi Cedric Kaze ameanza na ushindi mwembamba wa Yanga SC baada ya kuiongoza timu hiyo kwa mara ya kwanza leo na kuichapa 1-0 Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Pongezi zimuendee mfungaji wa bao hilo pekee kipindi cha pili.
kiungo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mukoko Tonombe ambaye hapa Tanznaia amepewa jina la utani Teacher, yaani Teacher kutokamna na staili yake ya ushangiliaji.
Tonombo aliye katika msimu wake wa kwanza tu tangu asajiliwe kutoka AS Vita ya nyumbani kwao, Kinshasa amefunga bao hilo dakika ya 70 kwa shuti lilombabatiza beki wa Polisi Tanzania baada ya kupokea pasi ya kiungo Mzanzibari, Feisal Salum.
Na kwa ushindi huo, Yanga SC inafikisha pointi 16, sasa ikizidiwa tano na vinara Azam FC ambao hata hivyo wamecheza mechi moja zaidi.
Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, wenyeji Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC bao pekee la Samson Mbaraka Mbangula dakika ya 49 akimalizia kazi nzuri ya Michael Ismail Mpesa Uwanja wa Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa.
Kikosi cha Yanga SC kilikuwa; Metacha Mnata, Kibwana Shomari, Yassin Mustapha, Lamine Moro, Bakari Mwamnyeto, Mukoko Tonombe, Tusila Kisinda, Feisal Salum, Yacouba Sogne/Michael Sarpong dk62, Haruna Niyonzima/Ditram Nchimbi dk59 na Farid Mussa/Zawadi Mauya dk77.
Polisi Tanzania; Peter Manyika, Datius Peter, Juma Hajji, Iddy Mobby, Mohammed Kassim, Pato Ngonyani, Rashid Juma/Hamad Kambangwa dk56, Hassan Maulid, Tariq Seif, Marcel Kaheza/Kassim Haruna dk77 na Pius Buswita.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/34pNvq9
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms