NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana alicheza kwa dakika 88, Fenerbahce ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Trabzonspor Uwanja wa Fenerbahce Sukru Saracoglu Sports Complex Jijini İstanbul.
Ingawa hakufunga lakini, mshambuliaji huyo wa zamani wa Aston Villa ya England, KRC Genk ya Ubelgiji, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo (DRC), Simba SC na African Lyon za nyumbani, Dar es Salaam alicheza vizuri kabla ya kumpisha Kemal Ademi.
Trabzonspor walitangulia kwa bao la kujifunga la mshambuliaji Mkongo Benik Afobe dakika ya 23, kabla ya Fenerbahce kuzinduka kwa mabao ya beki Serkan Asan aliyejifunga dakika ya 51, washambuliaji Enner Valencia dakika ya 55 na Papiss Cisse dakika ya 72.
Ushindi huo unawapeleka Fenerbahçe katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Uturuki baada ya kufikisha pointi 14, wakizidiwa pointi mbili na vinara, Alanyaspor kufuatia timu zote kucheza mechi sita.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3or9AMP
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms