Liverpool, ENGLAND
ARSENAL imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 usiku wa jana Uwanja wa Anfield.
Sasa The Gunners watakutana na Manchester City kwenye Robo Fainali ya michuano hiyo inayojulikana pia kama Carabao Cup mwezi Desemba.
Shujaa wa Arsenal jana alikuwa ni kipa wake, Bernd Leno aliyeokoa mikwaju ya penalti ya Harry Wilson na Divock Origi na waliofunga penalti za Liverpool ni James Milner, Georginio Wijnaldum, Takumi Minamino na Curtis Jones.
Bernd Leno alikuwa Shujaa wa Arsenal jana baada ya kuokoa penalti za Harry Wilson na Divock Origi wa Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mmisri Mohamed Elneny pekee alikosa upande wa Arsenal, wakati Alexandre Lacazette, Cédric Soares, Ainsley Maitland-Niles, Nicolas Pépé na Joe Willock wote walifunga.
Liverpool: Adrian, Neco Williams, Rhys Williams, Van Dijk/Gomez dk61, Milner, Grujic, Jones, Wilson, Jota/Wijnaldum dk76, Minamino na Salah/Origi dk61.
Arsenal: Leno, Cedric, Gabriel, Holding, Kolasinac, Willock, Xhaka, Pepe, Ceballos/Elneny dk68, Saka/Maitland-Niles dk86 na Nketiah/Lacazette dk82.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2Gy0CvB
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms