MABAO ya penalti ya Nahodha, Mohammed Aziz moja kila kipindi yameipa RS Berkane ushindi wa 2-1 dhidi ya Hassania Agadir, zote za Morocco katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika usiku wa jana Uwanja wa Prince Moulay Abdallah Jijini Rabat na kutinga fainali kwa mara ya pili mfululizo.
Berkane ambayo ilifungwa na Zamalek kwa penalti kwenye fainali ya msimu uliopita, sasa itakutana na mshindi wa Nusu Fainali ya pili leo kati ya Pyramids ya Misri na Horoya ya Guinea Jumaopili.
Aziz alifunga mabao yake dakika ya 20 na 61, wakati bao pekee la Hassania ambayo jana ilipoteza mechi ya kwanza kati ya 12 za Kombe la Shirikisho msimu huu, bao lake lilifungwa na Imad Kimaoui dakika ya 30.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/34e0eft
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms