TIMU ya Los Angeles Lakers imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mpira wa Kikapu Marekani, NBA baada ya ushindi wa pointi 106-93 dhidi ya Miami Heat Alfajiri ya leo kwenye mchezo wa sita wa fainali na kufanya ushindi wa jumla 4-2.
Hilo linakuwa taji lao la kwanza ndani ya muongo mmoja – mara ya mwisho walibeba taji hilo kwa juhudi za marehemu Kobe Bryant, aliyeshinda taji la tano na la mwisho akiwa na timu hiyo.
Shujaa wa LA Lakers safari hii ni LeBron James aliyefunga pointi 28, rebounds 14 na assists 10, huku Bam Adebayo akiifungia Miami pointi 25.
Wachezaji wa Los Angeles Lakers wakipongezana kwa kutwaa ubingwa wa NBA baada ya ushindi wa pointi 106-93 dhidi ya Miami Heat PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Hilo linakuwa taji la nne kwa LeBron James, ambaye pia alishinda tuzo ya nne ya Mchezaji Bora (MVP) wa fainali ya NBA – na la kwanza kwake tangu ajiunge na LA mwaka 2018 na ni la kwanza kwa kocha aliye katika mwaka wake wa kwanza, Frank Vogel.
Gwiji wa Lakers, Kobe Bryant, binti yake, Gianna na watu wengine saba walifariki kwenye ajali ya helikopta Januari 26.
Vanessa Bryant, mjane wa marehemu Kobe alifurahia ushindi huo kwa kuposti picha yake akiwa na wakala wake wa zamani, Rob Pelinka, ambaye sasa ni Meneja Mkuu wa Lakers.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3jUEhrc
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms