Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
TIMU ya Azam FC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Kwa ushindi huo, Azam FC inayofundishwa na Mromania, Aristica Cioaba inafikisha pointi 25 baada ya kucheza mechi 10, sasa ikiwazidi ponti mbili vigogo, Yanga SC ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi.
Katika mchezo huo, mabao ya Azam FC yamefungwa na beko Aggrey Morris dakika ya 47, kiungo mshambuliaji Ayoub Lyanga dakika ya 58 na beki Hassan Kapona aliyejifunga akijaribu kuokoa krosi ya kiungo Mzimbabwe, Never Tigere dakika ya 62.
Mechi nyingine za leo, bao pekee la Hamad Majimengi dakika ya 56 limetosha kuwapa Coastal Union ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro.
Mbeya City ikalazimishwa sare ya 1-1 na Polisi Tanzania Uwanja wa Sokoine, Jijini Mbeya. Kibu Dennis alianza kuwafungia wenyeji dakika ya saba, kabla ya Hassan Nassor kuwasawazishia wageni dakika ya 45 na ushei.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3jXm8Id
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms