MTOKEA benchi Salomon Obama Ondo jana ameifungia bao la ushindi Equatorial Guinea ikiibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Libya kwenye mchezo wa Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) Uwanja wa WE Al-Ahly Jijini Cairo.
Kwa matokeo hayo, Equatorial Guinea inafikisha pointi tatu sawa na Libya na Tanzania, ambayo kesho itamenyana na vinara wa kundi hilo, Tunisia.
Mabao ya mengine ya Equatorial Guinea yalifungwa na Jose Antonio Miranda na Pedro Obiang, wakati ya Libya yalifungwa na Sanad Al Warfali kwa penalti na Mohamed Bettamer.
Nayo Senegal ikaendeleza wimbi la ushindi Kundi I baada ya kuichapa 2-0 Guinea Bissau mabao ya Sadio Mane kwa penalti kipindi cha kwanza na Opa Nguette kipindi cha pili Uwanja wa Lat Dior mjin Thies.
Nayo Kenya ikalazimishwa sare ya 1-1 na Comoro waliomaliza pungufu ya mchezaji mmoja katika mchezo wa Kundi G Uwanja wa Moi Sports Centre Kasarani Jijini Nairobi.
Youssouf M’changama alianza kuwafungia Comoro kipindi cha kwanza kabla ya Masud Juma kuisawazishia Kenya kipindi cha pili.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3nljr5h
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms