Nahodha Lionel Messi (kulia) akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona dakika ya 61 kwa penalti na 82 kufuatia kutokea benchi kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Ansu Fati katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Real Betis kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barcelona yalifungwa na Ousmane Dembele dakika ya 22, Antoine Griezmann dakika ya 49, ambaye awali alikosa penalti dakika ya 33 na Pedri dakika ya 90. Mabao ya Real Betis iliyomaliza pungufu baada ya A. Mandi kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 60 baada ya kuonyeshwa njano ya pili yalifungwa na Arnaldo Sanabria dakika ya 45 na ushei na Loren Moron dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3ldFsme
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MESSI ATOKEA BENCHI NA KUPIGA MBILI BARCA YASHINDA 5-2. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/11/messi-atokea-benchi-na-kupiga-mbili.html. Terimakasih atas perhatiannya.