TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ken Gold ya Mbeya katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya jioni ya leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge Jijini Dar es Salaam.
Mabao yote ya Simba SC leo yamefungwa na mshambuliaji wake Mcameroon, Christian Leonel Ateba Mbida dakika ya 34 kwa penalti na dakika ya 44 akimalizia kazi nzuri ya beki Mburkinabe, Valentin Nouma.
Kwa ushindi huo, Simba inayofundishwa kocha raia wa Afrika Kusini Fadlu Davids inafikisha pointi 31 katika mchezo wa 12, ingawa inabaki nafasi ya pili, ikizidiwa pointi mbili na Azam FC, ambayo pia imecheza mechi tatu zaidi.
Kwa upande wao Ken Gold walio chini ya Kocha Omar Kapilima hali inazidi kuwa mbaya wakikamilisha mechi 15 za mzunguko wa kwanza mkiani, wakibaki na pointi zao sita.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/9jiMlTU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms