MABINGWA watetezi, Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Yanga leo yamefungwa na viungo Muivory Coast, Pacome Zouzoua Peodoh mawili, dakika ya 16 na 45’+1, Mudathir Yahya Abbas dakika ya 41, beki Jackson Katanga Shiga aliyejifunga dakika ya 52 na mshambuliaji Clement Francis Mzize dakika ya 88.
Kwa ushindi huo, Yanga inafikisha pointi 39 ikikamilisha mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu, ingawa inabaki nafasi ya pili nyuma ya Simba yenye pointi 40 baada ya wote kucheza mechi 15.
Fountain Gate baada ya kupoteza mchezo wa leo inabaki na pointi zake 20 za mechi 16 sasa, japokuwa inaendelea kubaki nafasi ya sita.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/GsjvP6t
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang PACOME AFUNGA MAWILI YANGA YAICHAPA FOUNTAIN GATE 5-0. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/12/pacome-afunga-mawili-yanga-yaichapa.html. Terimakasih atas perhatiannya.