WENYEJI, Fountain Gate wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati mkoani Manyara.
Mabao ya Fountain Gate yamefungwa na kiungo wa Kimataifa wa Burundi, Elie Mokono Eldhino mzaliwa wa Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) dakika ya 16, mshambuliaji William Edgar dakika ya 47 na kiungo Mghana, Nicholas Gyan kwa penalti dakika ya 54.
Kwa upande wao Coastal Union mabao yao yamefungwa na kiungo Lucas Almeida Kikoti dakika ya 44 kwa mkwaju wa penalti pia na mshambuliaji Maabad Maulid Maabad dakika ya 79.
Kwa ushindi huo, Fountain Gate wanafikisha pointi 20 katika mchezo wa 13 na kupanda kwa nafasi mbili hadi ya sita, wakati Coastal Union inabaki na pointi zake 16 za mechi 13 pia nafasi ya tisa.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/mOCtqBs
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang FOUNTAIN GATE YAICHAPA COASTAL UNION 3-2 TANZANITE KWARAA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/12/fountain-gate-yaichapa-coastal-union-3.html. Terimakasih atas perhatiannya.