BAO la dakika ya 90‘+5 la mshambuliaji Maulid Shaaban limeipa Coastal Union ushindi wa 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu y NBC Tanzania Bara mchana wa leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Katika mchezo huo ulioanza Saa 7:00 mchana wa leo baada ya kuahirishwa jana kutokan
a na mvua iliyoharibu mandhari ya Uwanja jana – Coastal Union walitangulia kwa bao la beki wa kushoto Mkongo, Hernest Briyock Malonga dakika ya 42 kwa penalti.
Lakini mshambuliaji mzawa, Meshack Abraham Mwamita akaisawazishia Tanzania Prisons dakika ya 56 – lakini ndoto za Maafande kujapa pointi moja leo zikazimwa na Mau mtoto wa mzee wa Shebby.
Kwa ushindi huo, Coastal Union wanafikisha pointi 16 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya tisa, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake 10 za mechi 12 sasa nafasi ya 13.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/98MigK2
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang COASTAL UNION YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1 ARUSHA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/12/coastal-union-yaichapa-tanzania-prisons.html. Terimakasih atas perhatiannya.