• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ▼  2024 (832)
    • ▼  Desember (57)
      • YANGA SC 5-0 FONTAIN GATE (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • COASTAL UNION YAAMBULIA SARE KWA KMC, 1-1 ARUSHA
      • PACOME AFUNGA MAWILI YANGA YAICHAPA FOUNTAIN GATE 5-0
      • M-BET, HALOPESA WAANZA KUMWAGA ZAWADI ZA WASHINDI ...
      • DODOMA JIJI FC YAIKUNG’UTA MASHUJAA 3-1 JAMHURI
      • SINGIDA BLACK STARS 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU YA NBC ...
      • SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAI...
      • AZAM FC YATOKA NYUMA NA KUICHAPA JKT TANZANIA 3-1 ...
      • SERENGTI BOYS YACHAPWA 2-1, UGANDA NDIO MABINGWA C...
      • TANZANIA PRISONS YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 UWANJA WA...
      • DODOMA JIJI 0-4 YANGA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • MZIZE AWEKA MBILI NYAVUNI YANGA YAICHAPA DODOMA JI...
      • NAMUNGO FC YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-1 PALE PALE BA...
      • SIMBA SC 1-0 JKT TANZANIA (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • SINGIDA BLACK STARS YAICHIMBIA KABURI KENGOLD, YAI...
      • ZUBERI FOBA MASUDI AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2027
      • YANGA SC 4-0 TANZANIA PRISONS (LIGI KUU YA NBC TZ ...
      • YANGA SC YAICHAPA TANZANIA PRISONS 4-0 MWENGE
      • KAGERA SUGAR 2-5 SIMBA SC (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • MUKWALA APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 5-...
      • NAMUNGO FC YAAMBULIA SULUHU KWA JKT TANZANIA RUANGWA
      • KOCHA MOROCCO AITA 30 KUUNDA ZANZIBAR HEROES YA KO...
      • YANGA SC 3-2 MASHUJAA FC (LIGI KUU YA NBC TZ BAEA)
      • DUBE APIGA HAT TRICK YANGA YASHINDA 3-2 DHIDI YA M...
      • SIMBA SC 2-0 KEN GOLD (LIGI KUU YA NBC TZ BARA)
      • ATEBA APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA KEN GOLD ...
      • VINICIUS MWANASOKA BORA WA MWAKA WA FIFA, ANCELOTT...
      • WASHINDI WA SHANGWE LA SIKUKUU LA LEONBET WAPATIKA...
      • AZAM FC WAIPIGA FOUNTAIN GATE 2-0 NA KUJITANUA KIL...
      • TABORA UNITED YAAMBULIA SARE KWA COASTAL UNION, 1-...
      • ADEMOLA LOOKMAN NA BABRA BANDA NDIO WANASOKA BORA ...
      • KMC YAICHAPA PAMBA 1-0 BAO LA HANCE DAKIKA ZA JIOONII
      • SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-0 ...
      • NAMUNGO FC YATOKA NYUMA KWA MABAO MAWILI NA KUICHA...
      • YANGA YAOKOTA POINTI YA KWANZA LIGI YA MABINGWA, 1...
      • MAKAMBO AFUNGA MABAO MAWILI TABORA UNITED YAICHAPA...
      • FOUNTAIN GATE YAICHAPA COASTAL UNION 3-2 TANZANITE...
      • KMC NA MASHUJAA NGOMA NGUMU MWENGE, ZAGAWANA POINT...
      • SINGIDA BLACK STARS YAIBANJUA DODOMA JIJI 2-1 BAO ...
      • KAGERA SUGAR YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO, 1-1 KAITABA
      • PAMBA JIJI YAWABANA JKT TANZANIA, MECHI YAISHA KWA...
      • M-BET, HALOPESA KUWAZAWADIA MASHABIKI WA SOKA KUPI...
      • YANGA SC YAMSAJILI BEKI WA ZAMANI WA SIMBA ISRAEL ...
      • SIMBA SC WACHAPWA 2-1 NA CONSTANTINE ALGERIA
      • YANGA YACHAPWA 2-0 TENA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
      • AZAM FC YAWACHAPA IRINGA 4-0 KOMBE LA TFF CHAMAZI
      • SALIBOKO AFUNGA MAWILI KMC YAICHAPA BLACK SIX 5-0 ...
      • SHABIKI WA YANGA NA MAN UNITED ASHINDA MILIONI 20...
      • YANGA SC YABORESHA BENCHI LA UFUNDI, YAONGEZA KOCH...
      • JKT TANZANIA YASONGA MBELE KOMBE LA TFF BAADA YA K...
      • KAGERA SUGAR YAAMBULIA SULUHU KWA PRISONS KAITABA
      • NDUGU WA MALAWI WAWANIA TUZO YA MWANASOKA BORA WA ...
      • CHIKOLA MCHEZAJI BORA, TOUSSI KOCHA BORA LİGİ KUU ...
      • MJUMBE BODI YA WAKURUGENZI AZAM FC AFIWA NA BABA Y...
      • COASTAL UNION YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1 ARUSHA
      • AZAM FC YAITANDIKA DODOMA JIJI 3-1 PALE PALE JAMHURI
      • PAMBA JIJI YAILAMBA KEN GOLD KIDUDE KIRUMBA SHUGHU...
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » M-BET, HALOPESA WAANZA KUMWAGA ZAWADI ZA WASHINDI WA KAMPENI YA AMSHA AMSHA

M-BET, HALOPESA WAANZA KUMWAGA ZAWADI ZA WASHINDI WA KAMPENI YA AMSHA AMSHA

KAMPUNI  ya michezo ya kubashiri ya M-Bet kwa kushirikiana na kampuni ya simu ya Halotel kupitia HaloPesa zimezawadia washindi wa kwanza wa kampeni ya Amsha Amsha zawadi mbalimbali.
Meneja Masoko wa M-Bet, Levis Paul amewataja washindi hao kuwa ni Ramadhan Mussa wa Dodoma na Greta Godfrey wa Dar es Salaam ambao wameshinda simu janja za mkononi aina ya Samsung A-series zenye thamani ya Sh500,000  kila mmoja.
Mbali ya zawadi za simu za mkononi, pia mkazi wa Songea, Vedasto Augustino ameshinda  televisheni aina ya Hisense yenye thamani ya Sh1.2 millioni.
Mwakilishi wa kampuni ya simu ya Halotel, Keneth Bernald Wello (kulia) akimkabidhi zawadi ya televisheni aina ya Hisense yenye thamani ya Sh1.2 millioni Vedasto Agustino ambaye ameshinda kupitia kampeni ya Amsha Amsha.

Washindi wote wamekwisha patiwa zawadi zao ambapo, wakazi wa Dodoma na Songea wametumiwa kupitia utaratibu waliouweka.
Pia, Daniel Dende, Njelekela Vitass, Petro Edward, Manase Ernest, Paschaali Paulo, Joseph Kishala, January John, Yolanda George, Amani Yohana, Patrick Oswaldi, Esha Ally na Paul Lamson walishinda fedha taslimu, Sh50,000 kila mmoja.
Wengine walishinda Sh50,000 ni, Alhaji Jabir, Frank Aidan, Amuri Hamisi, Yahaya Hamad, Siado Emmanuel, Rajab Chande, Kanisus Patrick, Mwasi Mwandito, Mashaka Kombo, Andrew Yohana na Saidi Mohamedi.
Meneja Masoko wa M-Bet Tanzania, Levis Paul alisema kuwa wanajisikia fahari kuwazawadia washindi hao zawadi hizo na kuwaomba kuendelea kushiriki kampeni hiyo ili kuendelea kushinda zawadi mbalimbali.
“Natoa wito kwa mashabiki wa soka na HaloPesa, kubashiri kuanzia dau la Sh2,000 ili kuweza kushinda zawadi mbalimbali ikiwa pamoja zawadi ya fedha  taslimu  kwa washindi wawili kwa siku," alisema Paul.
Paul alisema kuwa kampeni hiyo imelenga kuwazawadia wateja wao ambapo pia wanaweza kushindia fedha kwa kubashiri matokeo ya mechi katika ligi mbalimbali duniani.
“Washindi wawili wa kila siku watajishindia Sh50,000, ambapo jumla ya Sh6,000,000 zimetengwa kwa kipindi hiki cha sikukuu, droo itafanyika kila mwisho wa wiki, ” alisema Paul. 
Alisema kuwa mpaka sasa kuna televisheni saba ambazo zinasubiri washindi na kuwaomba mashabiki wa soka kuendelea kubashiri ili kushinda televisheni hizo na pia simu za kisasa za smartphone.  Kampeni hiyo itadumu kwa muda wa  miezi mitatu.
Alifafanua kuwa shabiki wa soka au mteja wao anaweza kuingia kwenye droo kwa kujisajili kupitia tovuti, www.m-bet.co.tz, kuweka pesa kupitia HaloPesa, na kubeti kwa dau la kuanzia Sh2, 000 ili kuingia kwenye droo," alisema.
Mwakilishi wa kampuni ya simu ya Halotel mkoani Dodoma, Jovita Minga (kushoto) akimkabidhi  Ramadhan Mussa zawadi ya simu janja ya mkononi (smartphone)  aina ya Samsung a-series  aliyoshinda kupitia kampeni ya Amsha Amsha.



from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/IzWZhiq best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang M-BET, HALOPESA WAANZA KUMWAGA ZAWADI ZA WASHINDI WA KAMPENI YA AMSHA AMSHA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/12/m-bet-halopesa-waanza-kumwaga-zawadi-za.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 03.11
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • BETPAWA YAPIGA ‘AMSHA AMSHA’ MWANZA KUELEKEA FAINALI LİGİ YA MABINGWA ULAYA
    BETPAWA YAPIGA ‘AMSHA AMSHA’ MWANZA KUELEKEA FAINALI LİGİ YA MABINGWA ULAYA
    KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya betPawa imezawadia vifaa vya michezo timu mbalimbali za mkoa wa Mwanza ikiwa sehemu ya kuchangia maend...
  • YANGA SC 4-0 KAGERA SUGAR (LIGI KUU YA NBZ TZ BARA)
    YANGA SC 4-0 KAGERA SUGAR (LIGI KUU YA NBZ TZ BARA)
      from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2dy3pqT
Copyright Viral Sports: M-BET, HALOPESA WAANZA KUMWAGA ZAWADI ZA WASHINDI WA KAMPENI YA AMSHA AMSHA